Supreme Leader na image ya ACT akiwa Shinyanga alipandikiza chuki kali kati ya wana kanda ya ziwa na wana kaskazini hususani Arusha na K.njaro.Akahubiri kuwa mikoa ya kanda ya ziwa ina mchango mkubwa kwenye pato la taifa lakini hakuna maendeleo kwa sababu ya mgao hafifu tofauti na Kilimanjaro na Arusha ambao wana maendeleo lakini mchango wao ni mdogo kwenye pato la taifa.Sasa Zito Kabwe awaeleze wananchi Kigoma inachangia
kiasi gani pato la taifa na
akishamaliza atuambie kama
maendeleo ya Kigoma
aliyojitapa nayo ya barabara,
gati lake Tanganyika, umeme,
uwanja wa ndege, daraja la
Malagarasi na miradi mingine
mingi Kikwete aliyowapeleka
Kigoma kwa kuupea kipaumbele
ni halali mpaka kuyatungia
wimbo!
Na kwanini anataja Kilimanjaro
tu.c.c Nguruvi3 Geza Ulole
hamna mtu anaumia atueleze mchango wa Kigoma kwenye pato la Taifa pia! Sisi tunajua mchango wa Kilimanjaro na Arusha (mikoa iliyo top 10) anayoita kiduchu kuanzia utalii (parks, hotels and conferences), biashara, viwanda, madini na kilimo (horticulture na coffee)kilimanjaeo ikitajwa unaumia ee! pole aisee
Mwaka 2010 Zitto alikuwa kwenye nafasi mbaya Kigoma hivi kwamba ilibidi atumie propaganda za Ubunge wa taifa kujikwamua.
Alipumua Kidogo baada ya Kikwete kulisusa jimbo lake. Akashinda. Hali hii ilitokana na uwajibikaji hafifu kwa raia wa Kigoma Kaskazini.
CCM waliamua kumpa favour maalum Zitto kila pahala baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kuingia kwa makindakinda waliokuwa na hamua ya kuinyonga CCM. Walitamani kuongozwa na Zitto lakini yeye akawa tofauti. Alikuwa mpole sana kwa serikali huku akiichokonoa Chadema na kuijengea taswira mbaya mbele ya jamii. Alidai kulishwa sumu na Chama baadaye akalazwa na daktari wake alipohojiwa na gazeti la Mwananchi alithibitisha kuwa haikuwa sumu bali machafuko wa kawaida wa Tumbo. Zitto aliumbuka.
Akadai ana majina ya walioficha mabilioni USWISI chama kikamwomba ayaweke wazi akawaambia hayawahusu. Halafu mnategemea mtu hapo.
Laiti ningekuwa maarufu, ningeuweka wazi unafiki wa Zitto, Dunia nzima imjue.
utabaki na story hizi hizi
mwenzio atakuwa mbunge na maisha yataendelea
nawe naona hazikutoshi ivi kwann stendi ya mkoa dar imejengwa ubungo kwa mnyika na co kawe kwa mdee ukipata jibu ndo utajua kwann stend ya magar ilijengwa kgma mjini na co kgma kaskazinTatizo unatumia akiri zakuazima.Hivi hiyo Barabara ya Kigoma kaskazini nikimaanisha Manyovu unaelewa kama niya Jumuiya ya A.mashariki na imejengwa kwa sababu niya nchi 2?.Hivi kumbe haujui kwamba huo mradi wa umeme upo nchi nzima niwa msaada Wa USA kwa sababu ya mazingira?.Mtadanganywa nyie msiojua na ndio maana huyo dogo anawatumia kama ngazi mkuu,hata mimi nilikuwa mshabiki wake kabla hajawa msariti.Zitto ni muongo tena aliyebobea kwa watu kama wewe.Hiyo Stendi ya Mabus anaijenga jimbo la Kigoma mjini badala ya jimbo lake?.
Mimi Ninaamini katika kipindi cha ubunge wa zitto kigoma imetendewa haki . katika kipindi cha miaka 9 mabadiliko yapo. Barabara. Stand. Bei ya kahawa iko vizuri . mimi kam mtu wa kgm naona ni bora zzt kuliko aliye mtangulia alumeshi mayonga kahena.
Mkuu ni mpuuzi pekee asiejua mchango wa ZZK katika taifa hili na Upinzani kwa ujumla.Kabla ya zitto kabwe kuwa mbunge inabidi watu watafakali Kigoma Kaskazini ilikuwa na hali gani na sasa ina hali gani.Mwanasiasa mahiri na mbunge aliyestahili kuitwa mbunge taifa kwa kuwatetea watanzania wote wa mikoa yote,
Kama Shinyanga na Arusha kwenye madini yao, Mwanza na pamba yao, Tabora na Tumbaku yao, Kilimanjaro na kahawa yao na mikoa ya kusini kwa korosho yao.
mikoa yote hiyo alijitahidi kuibana serikali iboreshe maisha ya wananchi kupitia shuguri zao za kila siku za kujipatia riziki na kupelekea kutungwa sheria mpya ya madini leo hii unaulizia alichokifanya?
Kweli nimeamini chuki hupofusha macho.
Wananchi wa kigoma hawahitaji hata kukumbushwa akichokifanya zito kwa mkoa wa kigoma
Kwa mkazi yeyote wa kigoma hata umwamshe usingizini atakwambia mazuri mengi ambayo zito ameufanyia mkoa wa kigoma na kuuletea heshima kubwaKila mwanakigoma leo anajivunia kusema mimi ni mutu wa kigoma popote pale alipo tofauti na ilivyokuwa hapo kabla.
Wakazi wa kigoma mjini chonde chonde msifanye makosa hapo mwezi wa kumi turudishieni jembe letu ZITO ZUBERI KABWE bungeni.
kigoma haikuwa na barabara ya lami nguzo za umeme zimesambazwa jambo lote la kigoma kaskazini . Kigoma haikuwa na stand ya magali yaendayo mikoani. Wewe ulitaka afanye nini zaidi ya hivyo
Mkuu hata hivyo ulivyovitaja kwa Kigoma viko wapi?.Mimi nimkazi wa Kigoma mjini lakini huyu Zitto atuambie kwanza hayo maendeleo aliyowapa wana Kigoma kaskazini niyapi mbona hatuyaoni?.Huyu dogo anatapatapa kukimbilia huku kwa kuwa anajua kule hawezi kupata kwa sababu ya uongo wake,aliahidi mengi tu mpaka kuwambia wananchi kwamba mradi wa umeme vijijini kawaletea yeye kumbe nimsaada Wa Marekani kwa nchi nzima
Tatizo unatumia akiri zakuazima.Hivi hiyo Barabara ya Kigoma kaskazini nikimaanisha Manyovu unaelewa kama niya Jumuiya ya A.mashariki na imejengwa kwa sababu niya nchi 2?.Hivi kumbe haujui kwamba huo mradi wa umeme upo nchi nzima niwa msaada Wa USA kwa sababu ya mazingira?.Mtadanganywa nyie msiojua na ndio maana huyo dogo anawatumia kama ngazi mkuu,hata mimi nilikuwa mshabiki wake kabla hajawa msariti.Zitto ni muongo tena aliyebobea kwa watu kama wewe.Hiyo Stendi ya Mabus anaijenga jimbo la Kigoma mjini badala ya jimbo lake?.
Kigoma haikuwa na barabara ya lami nguzo za umeme zimesambazwa jambo lote la kigoma kaskazini . kigoma haikuwa na stand ya magali yaendayo mikoani. Wewe ulitaka afanye nini zaidi ya hivyo