Zitto nimemnukuu ktk gazeti LA mwananchi akisema ametatua shida zote za wanakigoma kaskazini.mi nashauri kama ametatua shida zote za wanakigoma kaskazini,basi tume ilifute jimbo ilo la uchaguz ili kuokoa pesa na gharama ya mshahara Wa mbunge atakaechaguliwa maana hata kuwa na Kazi ya kufanya.matatizo yote yameshatatuliwa na the supreme leader.
Kuna mwengine kule HAI yeye mda wote yuko Dar , na mikoa mingine anajenga CHAMA, amekumbuka shuka pamekucha, atusubiri october
naona WACHAGA mpo kazini kama kawa.......pinda pindua sisi waislam hatumpi kura PADRI...pyyuuuuuu
Mkuu hata hivyo ulivyovitaja kwa Kigoma viko wapi?.Mimi nimkazi wa Kigoma mjini lakini huyu Zitto atuambie kwanza hayo maendeleo aliyowapa wana Kigoma kaskazini niyapi mbona hatuyaoni?.Huyu dogo anatapatapa kukimbilia huku kwa kuwa anajua kule hawezi kupata kwa sababu ya uongo wake,aliahidi mengi tu mpaka kuwambia wananchi kwamba mradi wa umeme vijijini kawaletea yeye kumbe nimsaada Wa Marekani kwa nchi nzima
acha uongo mkuu tangu lini kipofu akaona?Mkuu hata hivyo ulivyovitaja kwa Kigoma viko wapi?.Mimi nimkazi wa Kigoma mjini lakini huyu Zitto atuambie kwanza hayo maendeleo aliyowapa wana Kigoma kaskazini niyapi mbona hatuyaoni?.Huyu dogo anatapatapa kukimbilia huku kwa kuwa anajua kule hawezi kupata kwa sababu ya uongo wake,aliahidi mengi tu mpaka kuwambia wananchi kwamba mradi wa umeme vijijini kawaletea yeye kumbe nimsaada Wa Marekani kwa nchi nzima
Huwezi kuona wakati we kipofu.
Mkuu hata hivyo ulivyovitaja kwa Kigoma viko wapi?.Mimi nimkazi wa Kigoma mjini lakini huyu Zitto atuambie kwanza hayo maendeleo aliyowapa wana Kigoma kaskazini niyapi mbona hatuyaoni?.Huyu dogo anatapatapa kukimbilia huku kwa kuwa anajua kule hawezi kupata kwa sababu ya uongo wake,aliahidi mengi tu mpaka kuwambia wananchi kwamba mradi wa umeme vijijini kawaletea yeye kumbe nimsaada Wa Marekani kwa nchi nzima
Tatizo unatumia akiri zakuazima.Hivi hiyo Barabara ya Kigoma kaskazini nikimaanisha Manyovu unaelewa kama niya Jumuiya ya A.mashariki na imejengwa kwa sababu niya nchi 2?.Hivi kumbe haujui kwamba huo mradi wa umeme upo nchi nzima niwa msaada Wa USA kwa sababu ya mazingira?.Mtadanganywa nyie msiojua na ndio maana huyo dogo anawatumia kama ngazi mkuu,hata mimi nilikuwa mshabiki wake kabla hajawa msariti.Zitto ni muongo tena aliyebobea kwa watu kama wewe.Hiyo Stendi ya Mabus anaijenga jimbo la Kigoma mjini badala ya jimbo lake?.
Umemaliza au bado unayo mengine, maliza yoote kisha tuje kukufahamisha haswa kuku punguzia kupanicMkuu hata hivyo ulivyovitaja kwa Kigoma viko wapi?.Mimi nimkazi wa Kigoma mjini lakini huyu Zitto atuambie kwanza hayo maendeleo aliyowapa wana Kigoma kaskazini niyapi mbona hatuyaoni?.Huyu dogo anatapatapa kukimbilia huku kwa kuwa anajua kule hawezi kupata kwa sababu ya uongo wake,aliahidi mengi tu mpaka kuwambia wananchi kwamba mradi wa umeme vijijini kawaletea yeye kumbe nimsaada Wa Marekani kwa nchi nzima
Sema wewe na familia yako,husitutie najisi wewe kidudu mtu,waislam hatuna tabia hizo za kihinterahamwe na mtoto wake.mwanakhram
madogo nadhani hawajui kitu,na wamekosa akili ya kupima anayoyasema ZitoTatizo unatumia akiri zakuazima.Hivi hiyo Barabara ya Kigoma kaskazini nikimaanisha Manyovu unaelewa kama niya Jumuiya ya A.mashariki na imejengwa kwa sababu niya nchi 2?.Hivi kumbe haujui kwamba huo mradi wa umeme upo nchi nzima niwa msaada Wa USA kwa sababu ya mazingira?.Mtadanganywa nyie msiojua na ndio maana huyo dogo anawatumia kama ngazi mkuu,hata mimi nilikuwa mshabiki wake kabla hajawa msariti.Zitto ni muongo tena aliyebobea kwa watu kama wewe.Hiyo Stendi ya Mabus anaijenga jimbo la Kigoma mjini badala ya jimbo lake?.
Ningum kuelewa na alie kuwa kigoma miaka yanyuma akurudi sasa ndio ataona utofautiKigoma haikuwa na barabara ya lami nguzo za umeme zimesambazwa jambo lote la kigoma kaskazini . kigoma haikuwa na stand ya magali yaendayo mikoani. Wewe ulitaka afanye nini zaidi ya hivyo
Kigoma haikuwa na barabara ya lami nguzo za umeme zimesambazwa jambo lote la kigoma kaskazini . kigoma haikuwa na stand ya magali yaendayo mikoani. Wewe ulitaka afanye nini zaidi ya hivyo
Acha urongo kazi ya kujenga barabara ni kazi ya serikali si ya mbunge, ZZK ni mpenda sifa na mbinafsi!
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, sidhani kama wewe ni mtu wa kigoma kweli mbona yote anayoyasema ni kweli, barabara ya kwenda manyovu ni Lami, uwanja mkubwa wa ndege, aliwatafutia soko zuri wakulima wa kahawa. amefanya mengi sana mkoani kigoma, lazima kwa hili tukubali, wewe unayebisha na pia unadai unatoka kigoma unatoka sehemu gani au wewe ni mrundi???////////:msela: