Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,378
- 139,283
Mkuu hata hivyo ulivyovitaja kwa Kigoma viko wapi?.Mimi nimkazi wa Kigoma mjini lakini huyu Zitto atuambie kwanza hayo maendeleo aliyowapa wana Kigoma kaskazini niyapi mbona hatuyaoni?.Huyu dogo anatapatapa kukimbilia huku kwa kuwa anajua kule hawezi kupata kwa sababu ya uongo wake,aliahidi mengi tu mpaka kuwambia wananchi kwamba mradi wa umeme vijijini kawaletea yeye kumbe nimsaada Wa Marekani kwa nchi nzima
Kigoma haikuwa na barabara ya lami nguzo za umeme zimesambazwa jambo lote la kigoma kaskazini . kigoma haikuwa na stand ya magali yaendayo mikoani. Wewe ulitaka afanye nini zaidi ya hivyo
kilimanjaeo ikitajwa unaumia ee! pole aiseeSupreme Leader na image ya ACT akiwa Shinyanga alipandikiza chuki kali kati ya wana kanda ya ziwa na wana kaskazini hususani Arusha na K.njaro.Akahubiri kuwa mikoa ya kanda ya ziwa ina mchango mkubwa kwenye pato la taifa lakini hakuna maendeleo kwa sababu ya mgao hafifu tofauti na Kilimanjaro na Arusha ambao wana maendeleo lakini mchango wao ni mdogo kwenye pato la taifa.Sasa Zito Kabwe awaeleze wananchi Kigoma inachangiakiasi gani pato la taifa naakishamaliza atuambie kamamaendeleo ya Kigomaaliyojitapa nayo ya barabara,gati lake Tanganyika, umeme,uwanja wa ndege, daraja laMalagarasi na miradi minginemingi Kikwete aliyowapelekaKigoma kwa kuupea kipaumbeleni halali mpaka kuyatungiawimbo!Na kwanini anataja Kilimanjarotu.
Mkuu hata hivyo ulivyovitaja kwa Kigoma viko wapi?.Mimi nimkazi wa Kigoma mjini lakini huyu Zitto atuambie kwanza hayo maendeleo aliyowapa wana Kigoma kaskazini niyapi mbona hatuyaoni?.Huyu dogo anatapatapa kukimbilia huku kwa kuwa anajua kule hawezi kupata kwa sababu ya uongo wake,aliahidi mengi tu mpaka kuwambia wananchi kwamba mradi wa umeme vijijini kawaletea yeye kumbe nimsaada Wa Marekani kwa nchi nzima
Zitto nimemnukuu ktk gazeti LA mwananchi akisema ametatua shida zote za wanakigoma kaskazini.mi nashauri kama ametatua shida zote za wanakigoma kaskazini,basi tume ilifute jimbo ilo la uchaguz ili kuokoa pesa na gharama ya mshahara Wa mbunge atakaechaguliwa maana hata kuwa na Kazi ya kufanya.matatizo yote yameshatatuliwa na the supreme leader.
kilimanjaeo ikitajwa unaumia ee! pole aisee
Kuna mwengine kule HAI yeye mda wote yuko Dar , na mikoa mingine anajenga CHAMA, amekumbuka shuka pamekucha, atusubiri october
Kigoma haikuwa na barabara ya lami nguzo za umeme zimesambazwa jambo lote la kigoma kaskazini . kigoma haikuwa na stand ya magali yaendayo mikoani. Wewe ulitaka afanye nini zaidi ya hivyo
Kwani Zitto anakusanya kodi?
Kuna mwengine kule HAI yeye mda wote yuko Dar , na mikoa mingine anajenga CHAMA, amekumbuka shuka pamekucha, atusubiri october
Supreme Leader na image ya ACT akiwa Shinyanga alipandikiza chuki kali kati ya wana kanda ya ziwa na wana kaskazini hususani Arusha na K.njaro.Akahubiri kuwa mikoa ya kanda ya ziwa ina mchango mkubwa kwenye pato la taifa lakini hakuna maendeleo kwa sababu ya mgao hafifu tofauti na Kilimanjaro na Arusha ambao wana maendeleo lakini mchango wao ni mdogo kwenye pato la taifa.Sasa Zito Kabwe awaeleze wananchi Kigoma inachangia
kiasi gani pato la taifa na
akishamaliza atuambie kama
maendeleo ya Kigoma
aliyojitapa nayo ya barabara,
gati lake Tanganyika, umeme,
uwanja wa ndege, daraja la
Malagarasi na miradi mingine
mingi Kikwete aliyowapeleka
Kigoma kwa kuupea kipaumbele
ni halali mpaka kuyatungia
wimbo!
Na kwanini anataja Kilimanjaro
tu.
Kwani Zitto anakusanya kodi?