komaa sita, hatupo tayari kupoteza ardhi yetu. Angalia Ujerumani wanavyohangaika sasa ihali Briton wametulia.
...Ardhi ya Kenya inamilikiwa na nani?sasa hapo Sita akomae nini? Btw, sina hakika sana kama wenzetu wanataka ardhi, but let me ask yo Tanzanians: nani kati yenu nchi hii ana miliki ardhi? Turejee kwenye Katiba. Ardhi ni ya nani kama si Kikwete? Watanzania ni waoga. Na ccm washajua EAC ndo mwisho wa ukoloni wao. Wanahofia Wakenya watatufundisha fikra za kimapinduzi.
Trustee!!! siyo owner!.sasa hapo Sita akomae nini? Btw, sina hakika sana kama wenzetu wanataka ardhi, but let me ask yo Tanzanians: nani kati yenu nchi hii ana miliki ardhi? Turejee kwenye Katiba. Ardhi ni ya nani kama si Kikwete? Watanzania ni waoga. Na ccm washajua EAC ndo mwisho wa ukoloni wao. Wanahofia Wakenya watatufundisha fikra za kimapinduzi.
...Unamaanisha nini? Kwamba walichokisema ni sahihi kwakuwa hawapewi rushwa au mambo kama hayo?Kwangu mimi nisikiapo MTAALAMU mwenye heshima kubwa kwa taaluma yake anapotoa wazo mbadala na hasa kwenye swala ambalo hapewi mtu rushwa ndio afanye kama yeye mwenye amewiwa kufanya, huwa naamua kukaa kitako na na kulipa hoja nafasi bila ubishi wa mitaani. Prof Baregu na Zitto Kabwe, mbali na kwemo kwao kwenye siasa hizi za ushindani nchini, mimi nawatambua kama wanataaluma wazalendo wasiohitaji kwanza barua za utambulisho ndipo mawazo yao yapate kupewa nafasi.
Muungano wa kufanya biashara, mambo ya elimu basi..no more than that please..
Zitto Kabwe ni mrundi na huyo cjui Beregu ni mnyarwanda sasa unategemea nn hapo teehteeh.