JAY MTAALAM
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 1,594
- 1,384
Mfano akisema hali ya nchi ni Salama ila kuna vi-jambazi vinataka kutuchafulia reputation hadi nje ya Nchi,inabidi mamlaka ziongeze mbinu za kukabili hao vi-jambazi ata kwa mfumo wa teknolojia ya juu zaidi,alafu kuhusu korosho akatoa mapendekezo ya kiuchumi zaidi kuhusu soko la korosho Duniani,Tofauti ya Bodi ya Korosho na Wakulima na nini kifanyike mbona poa tu! Tatizo tunawaza matamko ya Shari..kila Mtu aombe mambo yaende sawa