Zitto naye ni mhanga wa vyandarua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto naye ni mhanga wa vyandarua?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kabindi, Oct 28, 2011.

 1. k

  kabindi JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  katika kile kinachoonekana TAIFA kupoteza mwelekeo katika vita dhidi ya Magonjwa, ni pale ambapo wataalamu wameungana na wanasiasa kukimbilia majibu mepesi katika kupambana na magonjwa. Elimu ya vyandarua imetolewa kwelikewli! tena kwa kasi ya ajabu! Si kwamba napinga matumizi ya vyandarua, BALI NILITEGEMEA WANANCHI KUPEWA ELIMU YA KUANGAMIZA MAZALIA YA VIMELEA VINAVYOSABABISHA MALARIA. Lakini wapi! wanahimiza matumizi ya vyandarua na Madawa tu. Hiyo ni kwa kuwa tunataka kusupport viwanda vya Wamarekani na Ulaya?! tumekuwa wajinga kiasi hiki hadi Rais wa nchi?! Mazingira ni machafu kwelikweli kila kona, tunategemea nini?! Nasikia kuna mabwana Afya kila wilaya! wanafanya kazi gani?! kwa ujinga huu tutakufa wengi na tayari wameisha kufa wengi.Heri ya ZITTO aliye mahututi maana yupo hai kuliko wale waliOkufa kwa kukosa kupewa elimu ya kuangamiza mazalia ya mbu na usafi kwa ujumla.
   
Loading...