Zitto na pesa za sensa ya watu

peas hizo wazipeleke wanakoita kilimo kwanza mbona wakulima wanalia na mazao bei chini,watumie hizo mill 300 kuongeza thamani ya mazao ya wakulima. hiyo ni rushwa wanataka kuwatengenzea skendo wabunge w upinzani hasa cdm na kuua issue ya pm
 
mwambieni kwanza atueleze amepataje utajiri wote huo alionao? pengine ndiyo maana hataki posho maana ameishashiba
 
Wanaosema CDM hawako makini nawashangaa sana!
 
Bunge linalohonga wabunge wake. Spika kwa hili naye aondoke. Kama takrima ilivyokuwa, ilipambwa vizuri kuwa ni "african hospitality" kumbe rushwa. Ndio maana miaka hamsini lakini nchi inarudi nyuma.rushwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpaka mjengoni
 
mwambieni kwanza atueleze amepataje utajiri wote huo alionao? pengine ndiyo maana hataki posho maana ameishashiba

Tafuta kidume kifanye Doria kichwani kwako unaweza kujitambua siku nyingine, kama ishu ni utajiri mbona watu kama Mohamed Dewji,Lowassa,Nimrod Mkono,Aboud,Shabiby wanazifakamia posho,we umesahau Pinda alisain Posho feki ya jairo ya 280,000??? Zitto ni zaid ya mbunge but ntaendelea kumwita mbunge as sina jina la kumtofautisha na wabunge kama kina makamba,lusinde n.k
 
Nasikia kulengwalengwa na machozi....... watoto wetu mtarithi nini kwa spidi hii ya mama-Myarukolo
 
AMA KWELI, NGOJA TUONE MWISHO WAKE ! Kwa madaktari - hatuna pesa, hizi zinatoka wapi ?
 
Nadhani ni 350+ (nimechukua %20 ya kura 70x5 zilizotakiwa kumuondosha WM), hii ni kusema zaidi ya Shs. 350, 000,000. Tunaelekea wapi. Hawa wamekaa kama watoto wadogo, wakikatazwa mavi wanachezea mkojo.
 
Nasari amesema hawezi kurudusha yeye kwanza ndo anaanza kuzimeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…