Kwa mujibu wa maelezo yao ni kwamba mpango unasema serikali itakuwa inatenga 35% ya mapato ya ndani kwa ajili ya maendeleo ambapo Zitto amesema imetenga 0%. Mwigulu akasema mpango unasema ni 35% ya bajeti, Zitto akamwambia achana na huo mpango wako wenye kiingereza cha kuungaunga so akamfungulia mpango wa kiswahili ambao ndio uliopitishwa na bunge.........Nchemba akagwaya
Ukiwa na akili nyingi ni bora uwe Lecturer
Wanasiasa wanatumia mdomo siyo kufikiria xana!!!!!!!!!
Nchemba loooooo, hamnazo"""""" you are not politician
Waachie wenyewe hyo kaz banaaaaa
Nawapenda sana waungwana kama wewe, angekuwa mwingine tungeshuhudia matusi!!!!Asante kwa elimu "Tune on to tbc now"
He will never act like a mchumi akiwa kwenye nafasi ya ubunge kwasababu ubunge kwake ni ajira na anything that threatens ajira hiyo atafanya kila awezalo ili kutetea hata upuuzi.Mkuu, unataka kusema Mwigulu ana akili nyingi?? zipi hizo??
Kama ana akili nyingi........kwanini anashindwa kueleza issues ki uchumi basi...
Nchemba ni too weak kwenye kila anachofanya..........yani yupo kama boss wake...DHAIFU sana!!
Nchemba kama hakuuelewa huo mpango wa maendeleo namshauri aonane na Dr Mpango atamwelewesha vizuri. Serikali iliji-commit kutenga 35% ya mapatoo yake ya ndani kila mwaka for 5 years. Na sababu kubwa ya kutaka hiyo 35% itoke ndani ni ili kuepukana na tatizo la utegemezi wa wahisani ambao mara nyingi wanatoa kiasi tofauti na walichoahidi au/na wanatoa hela kwa kuchelewa. Hivyo ikaonekana ili mpango huo usisue-sue basi 35% itokane na makusanyo ya ndani.
Sasa Nchemba analeta ngonjera za first class! Na CCM wakumbuke hii ni bajeti ya pili, wamebakiwa na bajeti 3 tu kufikia tamati ya huo mpango wa miaka mitano (2011-16). So far wamefanya nothing, na wakiendelea kujitetea kwa kueleza marks za darasani watajikuta muda umeisha bila kufanya chochote. They've messed up MKUKUTA, they are off-target za vision 2025 na huu mpango wa maendeleo nao unaelekea huko huko kuzimu.
Mwigulu povu linamtoka kwa kasi....nafikiri atahitaji handkerchief !!!
Hivi kweli mtu mzima unajisifia marks za darasani mpaka leo??
really??
Unajisifu kwamba umesoma shule maalum Ilboru??.......tena O'level ..... kama alikuwa maalumu saaana mbona hakwenda MZumbe au kurudi Ilboru A' Level....??
Mbona hataji Mazengo alikosoma??
Huyu jamaa nadhani ali-stop kukua alipofikisha 18 years!!!
"Mtu anayefilisika haoni kama anafilisika"Mwigulu na Nape walipopata shavu ndani ya ccm nilidhani watajitahidi kuleta mabadiliko ya chama ili kukinusuru na kaburi! Ila wapi bana!
Sasa hivi wanaangaika kuhubiri ubora wa ccm inayokufa (kama bado ipo hai)!
"Mtu anayefilisika haoni kama anafilisika"
Yani CCM waliona mtu wa kumpambanisha na Zitto ni Mwigulu? jamani jamani anyway la kuvunda halina ubani