Nimekuwa nikifuatilia operation ya vua gamba vaa gwanda katika sehemu mbalimbali. Mhe. Zitto Zuberi Kabwe haonekani kwenye mikutano ya hadhara. Kama unajua sababu ambazo zinamfanya mheshimiwa huyu kutoshiriki tupia hapa.
Peoples
Power
Hakuna kulala
mpaka kieleweke

Uliishawahi muona Tundu Lissu?
Kuna siasa ndani ya Bunge na siasa nje ya Bunge. Mh Zitto mashambulizi yake ni ndani ya Bunge kama ni kweli wewe ni mfuatiliaji utakuwa umegundua hilo. Mbona huulizi Mh. Mnyika au Halima Mdee wao umewaonna wapi nje ya Bunge tofauti na majimbo yao?
Zitto alikuwa USA na sasa yuko Netherlands anahangaikia mambo ya Oil and Gas Master plan ili tusije lizwa kama ilivyo kwenye madini ya dhahabu.
Ameenda pick best practises nasi tuzitumie