Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

Nazani sasa uchaguzi mkuu utafanyika kwa Amani aliyekuwa anaogopwa hayupo tena Mbowe amaepita bila kupingwa
mimi nasubiri tu watakaposhindwa kuchukua madaraka 2015,kama mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa kudumu ya cdm ama atawapisha wengine.
 
Mbegu walizopanda CCM ndani ya CDM ziliangukia kwenye JABARI!!! - Zilichanua sasa Zinapukutika

Kwa sisi tuliozaliwa mara ya pili hebu tujikumbushe mfano huu kwenye maandiko matakatifu.
“Mpanzi alikwenda kupanda mbegu. [SUP]4 [/SUP]Alipokuwa akitawanya mbegu, [SUP]5 [/SUP]Nyingine zikaanguka kwenye mawe, ambapo hapakuwa na udongo wa kutosha. Zikakua haraka kwa sababu udongo ulikuwa kidogo. [SUP]6 [/SUP]Lakini jua kali lilipowaka, mimea hiyo ilinyauka na kukauka kwa sababu mizizi yake haikwenda chini. [SUP]7 [/SUP]
 
Zitto kajimaliza. Nilikua na maswali mengi bila majibu kwa muda mrefu. Vikao nyeti na M4C kwanini ushiriki wake umekua na "excuse" zisizoisha??? Maamuzi magumu ndo haya, CDM mmepata point za kutosha. Shibuda nae vipi???
 
Maelezo yote haya hayaondoi ukweli kuwa ulichoandika ni tofauti na uaminicho. Wacha mdogo wangu kujikomba kwani mimi najua yale yote uandikayo. Chadema inawenyewe na kama huamini subiri hizo sababu za kushughulikiwa hawa jamaa ndio utanielewa.


Hata kama sababu zikiwa ni za kipuuz kama unavyotaka kutuaminisha bado chama kina milango ya kukata rufaa,,, kikubwa hili ndilo nililokuwa nalisisitiza na si vinginevyo.
 
Wanafukuzana kwa hisia halafu eti ndiyo tuwape waongoze nchi, hata sisi wananchi wao watakuwa wanatufanyia maamuzi kwa hisia, hawafai hawa ni genge la wahuni tu

sure mkuu. Hawa jamaa hawafai kabisa. ZITTO ni munge wa watu na amechaguliwa kuwawakilisha watu. wao wachache tu wanataka kupokonya haki za maelfu na malaki ya waliompigia kura. haiwezekani kabisa. Itakuwa ni kama hadithi ya Hamad Rashid na CUF au David KAFULILA ndani ya NCCR Mageuzi
 
Wanafukuzana kwa hisia halafu eti ndiyo tuwape waongoze nchi, hata sisi wananchi wao watakuwa wanatufanyia maamuzi kwa hisia, hawafai hawa ni genge la wahuni tu

habari ndiyo hiyo hatutaki wasaliti ndani ya chama..
 
Ukabila, ukaskazini ndio uliomfikisha zito hapa. Namuelewa Zito na nitazidi kumuamini milele na milele. CDM Kimepoteza mwelekeo.
Umepoteza wewe,hatutaki wanafki ndani ya chama,mwambie arudi Kigoma this time hapati kura hata moja labda ya familia yake..
 
well chadema, Zitto Kabwe ni mpuuzi sana amelewa sifa hadi anaanza kusahau alipataje umaarufu alionao sasa ameupataje?
Inakuwa vp unajiita kiongozi wa Chama halafu huhudhurii kwenye vikao rasmi na kwenye shughuli zingine kama M4c.
mnafiki sana huyu kijana. na soo tutaanza kumsahau kwenye medani za kisiasa.
 
Back
Top Bottom