Shaban Dede
Member
- May 29, 2015
- 42
- 30
Naona mwisho wa Zitto sasa kisiasa ndio umefikia tamati baada ya EL ambaye alikuwa anampigania na kumtetea kupata fedha za umma kuendesha mikutano yake kufika tamati. Hadi sasa Zitto anajutia maamuzi yake ya kukubali kusaliti Chadema (rejea email ya ZZK kwenda kwa Nchema tarehe 9 July 2015) ukwapuaji wa fedha hizo sasa umefika tamati baada ya JP Magufuli kupita kwa kishindo kwenye mikutano Yao hapo Dodoma, Dr JP Magufuli hana makundi