fangfangjt
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 571
- 139
Hope Mwigulu Nchemba atafikiwa na huu ujumbe wenye busara za hali ya juu. Someone must say ''Mwigulu, stop destructions of our lovely nation''
Mshikamano au Uvumilivu? Hata msingi wa uvumilivu sasa una nyufa.
From Harmony to tolerance towards tension - political and religious. Sooner than later tribal. A nation in reverse gear..... Someone must put a stop. YOU
Zitto

Nani ajinyee mburula wewe,Zitto ana uhuru wa kuchukua muda wowote na ni haki yake kikatiba,nani ajinyee kwa haki ya mtu mwingine achaumburula mtumkubwa na spinning ya kitoto.Leo ZITTO amekuwa na busara kwenu wa CHADEMA kweli au unafiki? Ngoja atangaze kuchukua fomu ya urais tuone kama hamjaanza kujinyea hovyo.
Mwigulu ni mwiba kwenu anawachoma kote kote majukwaani na mitaani.Hope Mwigulu Nchemba atafikiwa na huu ujumbe wenye busara za hali ya juu. Someone must say ''Mwigulu, stop destructions of our lovely nation''
Mshikamano au Uvumilivu? Hata msingi wa uvumilivu sasa una nyufa.
From Harmony to tolerance towards tension - political and religious. Sooner than later tribal. A nation in reverse gear..... Someone must put a stop. YOU
Chadema ukitaka ubaya chukua fomu kugombea urais au uenyekitiLeo ZITTO amekuwa na busara kwenu wa CHADEMA kweli au unafiki? Ngoja atangaze kuchukua fomu ya urais tuone kama hamjaanza kujinyea hovyo.
Leo ZITTO amekuwa na busara kwenu wa CHADEMA kweli au unafiki? Ngoja atangaze kuchukua fomu ya urais tuone kama hamjaanza kujinyea hovyo.
...Mkakati wenu wa kumtumia Zitto kuivuruga CDM umeshindwa - Na yeye kishawashtukia. Poleni subirini kichapo 2015Karibuni CHADEMA-MBOWE na CHADEMA-ZITTO muanze kuvutana.
Mwigulu ni mwiba kwenu anawachoma kote kote majukwaani na mitaani.
Chadema ukitaka ubaya chukua fomu kugomea urais au uenyekiti
Mingoi na Thatha: acheni kuchefua mtandao huu! Kama hamna rejoinders ambazo ni costructive kaeni kimya. Hapa hoja hujibiwa kwa hoja na sio uchwara wa mitaani!
Leo ZITTO amekuwa na busara kwenu wa CHADEMA kweli au unafiki? Ngoja atangaze kuchukua fomu ya urais tuone kama hamjaanza kujinyea hovyo.
Hope Mwigulu Nchemba atafikiwa na huu ujumbe wenye busara za hali ya juu. Someone must say ''Mwigulu, stop destructions of our lovely nation''
Mkuu Mavumbi,lipi hapo la mtaani kwani Zitto akuitwa wa kuja kwa kosa la kutumia haki yake kikatiba kama mwanachama wa Chadema kugombea uenyekiti? Tatizo lenu Bavicha mnaona JF ni ubao wenu wa matangazo na propaganda za CDM.Mingoi na Thatha: acheni kuchefua mtandao huu! Kama hamna rejoinders ambazo ni costructive kaeni kimya. Hapa hoja hujibiwa kwa hoja na sio uchwara wa mitaani!