Zitto mpaka sasa ni innocent. CHADEMA tafuteni mengine ya kuwaambia watanzania

Mkuu kama unamaanisha haya ya kuwafikiria watanzania mimi naguswa sana na hali ya watu wa taifa hili na ndio maana niko mstari wa mbele kuunga mkono mwanasiasa/mwanaharakati yeyote anayesimama na kuwatetea watanzania na rasimali zetu. Namuunga mkono zitto kwasababu hiyo na si vingine.

Nakufahamugi mwagito, ila wakati mwingine huwa uanapotoka na kuropoka, CCM hamnaga i mean viongozi waliopo, mwenye uchungu na watu hawa! Kibajaji alisema mwenye uchungu hayupo kama yupo akazae hahaha! na maCCM wenzie walikaa kimya ina maana walikuwa wakimuunga mkono kwa kitu alichokuwa anasema, hawana uchungu! Wao hawazai!
 
kama unadhani anakufaa ungana naye, nayeyote anaedhani anamfaa afatane naye.

Tuko zama za vyama vingi? aanzishe chake na wote waodhani kwao ZZK ni bora wamfuate.

Hatuendi hivyo. Mtu hatoki kwa sababu mmemchoka. CHADEMA ni chama cha wanachama na umma wa watanzania. Haitoshi kutoka kwa sababu akina Mbowe hawamtaki au wanaona anatishia maslahi yao kisiasa au kwa kuwa akina Tundu wanamchukia. Lazima hoja zijengwe. Tatizo lenu mnadhani CHADEMA ni mali yenu, na mlidhani Zitto angekimbia makelele yenu ya usaliti mnayoyapiga barabarani kwa kudanganywa na mwanasheria mwanasiasa wenu. Mmenoa. Jengeni hoja. Ubabe hautasaidia kwa sababu hii nchi ni yetu sote. Kwamba hamumpendi Zitto haisaidii lolote.
 
Nina uhuru wa kuandika nipendayo. Naamini katika watu na sio taasisi.

We kweli CHAMVINGA !!!! Unaamin watu, akifa na imani yako imekufa? Dume zima unasimfia mwanaume mwenzako,,,,,, acha upoyoyo wewe!!
 
Hatuendi hivyo. Mtu hatoki kwa sababu mmemchoka. CHADEMA ni chama cha wanachama na umma wa watanzania. Haitoshi kutoka kwa sababu akina Mbowe hawamtaki au wanaona anatishia maslahi yao kisiasa au kwa kuwa akina Tundu wanamchukia. Lazima hoja zijengwe. Tatizo lenu mnadhani CHADEMA ni mali yenu, na mlidhani Zitto angekimbia makelele yenu ya usaliti mnayoyapiga barabarani kwa kudanganywa na mwanasheria mwanasiasa wenu. Mmenoa. Jengeni hoja. Ubabe hautasaidia kwa sababu hii nchi ni yetu sote. Kwamba hamumpendi Zitto haisaidii lolote.
safi sana kwa busara zako kaka, waelimishe hao vijana ambao hawajui walifanyalo
 
Nakufahamugi mwagito, ila wakati mwingine huwa uanapotoka na kuropoka, CCM hamnaga i mean viongozi waliopo, mwenye uchungu na watu hawa! Kibajaji alisema mwenye uchungu hayupo kama yupo akazae hahaha! na maCCM wenzie walikaa kimya ina maana walikuwa wakimuunga mkono kwa kitu alichokuwa anasema, hawana uchungu! Wao hawazai!

Mimi sijawahi kupotoka hata mara moja ila nisichopenda ni kujadili habari hali ngumu ya maisha ya watanzania na mnafiki. Yoyote anayemshambulia Zitto kwa hali yoyote mimi namuona kwangu ni msaliti anayewasaliti watanzania maskini. Zitto ndio kiongozi wa upinzani pekee mpaka sasa aliyesimama mbele na kuwasemea watanzania changamoto zao bila aibu wala woga. Kama mtu ananiambia kapokea rushwa sijui ni msaliti tena bila vizibiti bado kwangu namdharau sana kwani wazi anaonyesha jinsi alivyo na chuki binafsi. Mpaka sasa nathamini harakati alizozifanya katika kuwatetea watanzania kwa 100% bali kama kuna anayetaka kutuaminisha vingine afanye kama Zitto alivyofanya ndio aje na blah blah zake.
 
Siwezi kukupa ushahidi ila mimi siwezi kukuambia nimejuaje Zitto ni msaliti, siwezi kukuambia ila ninajua baadhi ya vitu anbavvyo watu wengi hawajui, Zitto kweli ni na si kiongozi mzuri kama unavyotangaza hapa, inawezekana kweli angekuwa kiongozi mzuri ila pesa ilimponza Yuda na inaendelea kuwaponza wengi, inawezekana hata wewe inakuponza, ila usiuze utu wako kwa pesa a.k.a makaratasi ya wazungu!
 
Thats your own altitude/perception and interpretation towards me. I don care. Watanzania wanapitia tunayoandika na wanaelimika. Wewe kwakuwa unayako lazima utoe povu. Kama chadema mna ubavu mfukuzeni zitto tufungue ukurasa mpya katika nyanja za kisiasa.

Hawezi kufukuzwa kwa kukurupuka, kuingia kwenye chama alifuata taratibu na kuondoka taratibu zitafuatwa pia, usiwe na jazba
 
Si umeona hookworm mwenzio huyo! Yaani CCM imespoil watu kiasi hiki! Mmezaliwa vizuri kichaa cha nini?

Zile nyaraka ya siri zilizochomolewa makao makuu mbona ulikuwa unazishadadia? Double standard.
 
Siwezi kukupa ushahidi ila mimi siwezi kukuambia nimejuaje Zitto ni msaliti, siwezi kukuambia ila ninajua baadhi ya vitu anbavvyo watu wengi hawajui, Zitto kweli ni na si kiongozi mzuri kama unavyotangaza hapa, inawezekana kweli angekuwa kiongozi mzuri ila pesa ilimponza Yuda na inaendelea kuwaponza wengi, inawezekana hata wewe inakuponza, ila usiuze utu wako kwa pesa a.k.a makaratasi ya wazungu!

Si umeona ulivyo kimajungumajungu? Huna ushahidi ila unasema ni msaliti. Pole yako mkuu. Haki itashindwa and the heaven will be after him.
 
kama kutambaa ni nijambo la msingi jiulize alivyotulizwa Alhaji Abul Jumbe baada ya kufanya sivyo ndani ya ccm.

Kama suaala ni kutambaa mwambie ZZK akimbie wala asitembee aanzishe chakwake ili wewe na wengine wanaodhani

anakufaeni muongozane naye.
sasa mnaigopa nn kumfikuza, jaribun mwona, mmefyataaa baada ya kuona mshaharibu pu....v.
 
Back
Top Bottom