Zitto mpaka sasa ni innocent. CHADEMA tafuteni mengine ya kuwaambia watanzania

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
7,689
2,000
Zitto Kabwe hakuomba kujiuzulu uongozi ndani ya chama kwakuwa ametenda kosa lolote bali kwakuwa viongozi wenzake walikuwa hawa imani nae.
Maelezo haya ameyatoa mwanasheria wa Zitto ndugu Alberto Msando.
Mpaka sasa Zitto Zuberi Kabwe ni innocent pamoja na udikteta uliotumika kumvua uongozi. Chadema inabidi mtafute mambo mengine ya kuwaambia watanzania kuhusu Zitto. Huyu ni kiongozi bora na mpiganaji wa kweli.
Nitajibu kwa ujumla kwa sababu majibu ya masuali yako ndio msingi wa utetezi uliowasilishwa. Kuandika ingredients za utetezi au kwa maana nyingine maelezo ya utetezi sio sawa. Hayo yote yatatolewa muda ukifika.

Zitto aliomba kujiuzulu sio kwa kukiri makosa ila kwa sababu viongozi wenzake walisema hawamuamini. Msimamo wake ulikuwa hana sababu ya kuendelea na uongozi kama hakuna trust.

Suala hilo lingeishia hapo kama ushauri uliotolewa ndani ya kikao ungefuatwa kwamba aruhusiwe kujiuzulu. Chama bado kingeweza kumchukulia hatua zaidi hata kama angejiuzulu mwenyewe na hiyo wangetumia kama sababu. Lakini badala yake ilionekana kwamba kujiuzulu ni sifa hivyo afukuzwe!! Kosa likawa hapo. Kufukuzwa/kuvuliwa uongozi ni adhabu. Utoaji adhabu za kinidhamu lazima ufuate utaratibu kaka.

Baada ya hayo yote alitafuta ushauri wa kisheria kutokana na mazingira ya suala lake. Hakuwa na nafasi ya kutafuta ushauri ndani ya kikao kwa sababu nafasi hiyo hakupewa. Na hapo unaona kwa nini ni muhimu kumpa mtu mashtaka yake kabla ili kabla hajajitetea aweze kutafuta ushauri wa kisheria. That's basic.

Suala lake liliibuka ndani ya kikao kama dharura. Na ndivyo ilivyotokea.
 
Abdillahjr

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
694
0
Chamviga wewe ni mtetezi mkubwa wa CCM,ya CHADEMA yanakuwashaje??!! Au ndio hizi ids maalum za mwisho wa mwaka. 2012 kwa kazi maalum na malipo maalum??!! Simba kumtetea mshambuliaji wa Yanga asifukuzwe Yanga ni ukichaa kuamini inatetewa haki!!!
 
Balali

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
903
0
Zitto Kabwe hakuomba kujiuzulu uongozi ndani ya chama kwakuwa ametenda kosa lolote bali kwakuwa viongozi wenzake walikuwa hawa imani nae.
Maelezo haya ameyatoa mwanasheria wa Zitto ndugu Alberto Msando.
Mpaka sasa Zitto Zuberi Kabwe ni innocent pamoja na udikteta uliotumika kumvua uongozi. Chadema inabidi mtafute mambo mengine ya kuwaambia watanzania kuhusu Zitto. Huyu ni kiongozi bora na mpiganaji wa kweli.

kama unadhani anakufaa ungana naye, nayeyote anaedhani anamfaa afatane naye.

Tuko zama za vyama vingi? aanzishe chake na wote waodhani kwao ZZK ni bora wamfuate.
 
CHAMVIGA

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
7,689
2,000
Chamviga wewe ni mtetezi mkubwa wa CCM,ya CHADEMA yanakuwashaje??!! Au ndio hizi ids maalum za mwisho wa mwaka. 2012 kwa kazi maalum na malipo maalum??!! Simba kumtetea mshambuliaji wa Yanga asifukuzwe Yanga ni ukichaa kuamini inatetewa haki!!!

Nina uhuru wa kuandika nipendayo. Naamini katika watu na sio taasisi.
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
kama unadhani anakufaa ungana naye, nayeyote anaedhani anamfaa afatane naye.

Tuko zama za vyama vingi? aanzishe chake na wote waodhani kwao ZZK ni bora wamfuate.
Mtu mwenyewe hata hujaanza kutambaa ndani ya CHADEMA. utajifananisha na ZZK wewe? ZITTO ni zaidi ya wengine ndani ya CDM
 
Balali

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
903
0
Kama ZZK ni bora kuliko CHADEMA si aondoke akaanzishe cha kwake.

Anauboragani endapo hana uwezo wa kuanzisha cha kwake, ni boya tu huyo na kutupotezea muda wa mabadiliko.

ZZK ni mzigo kwa chadema kama ilivyo Pinda na hawa ghasia kwa serkali na ccm
 
waambie mabwana zenu wamfukuze.
 
Balali

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
903
0
Mtu mwenyewe hata hujaanza kutambaa ndani ya CHADEMA. utajifananisha na ZZK wewe? ZITTO ni zaidi ya wengine ndani ya CDM

kama kutambaa ni nijambo la msingi jiulize alivyotulizwa Alhaji Abul Jumbe baada ya kufanya sivyo ndani ya ccm.

Kama suaala ni kutambaa mwambie ZZK akimbie wala asitembee aanzishe chakwake ili wewe na wengine wanaodhani

anakufaeni muongozane naye.
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Kama ZZK ni bora kuliko CHADEMA si aondoke akaanzishe cha kwake.

Anauboragani endapo hana uwezo wa kuanzisha cha kwake, ni boya tu huyo na kutupotezea muda wa mabadiliko.

ZZK ni mzigo kwa chadema kama ilivyo Pinda na hawa ghasia kwa serkali na ccm
Mkuu, kwani Mbowe mpaka ang'ang'anie CHADEMA ni chama chake au kakianzisha yeye?
 
CHAMVIGA

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
7,689
2,000
kama kutambaa ni nijambo la msingi jiulize alivyotulizwa Alhaji Abul Jumbe baada ya kufanya sivyo ndani ya ccm.

Kama suaala ni kutambaa mwambie ZZK akimbie wala asitembee aanzishe chakwake ili wewe na wengine wanaodhani

anakufaeni muongozane naye.

Habari za jumbe huzijui wala usizifananize na Zitto.
 
Amesema kuwa hatoki ndani ya CHADEMA kwani katumia muda mwingi na fedha nyingi kukijenga. Hawa wengine wanaojifanya ni wafia chama wamekuja juzi tu na wameonesha umalaya wa kisiasa
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
hawana ya kutuambia zaidi ya kutudanganya hata uongo wao tumeuchoka.
 
mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,850
2,000
you nailed brother ,kama huna mahaba ya ajabu na mbowe na slaa(sio chama) hizi facts utazi consider

"By MsandoAlberto Nitajibu kwa ujumla kwa sababu majibu ya masuali yako ndio msingi wa utetezi uliowasilishwa. Kuandika ingredients za utetezi au kwa maana nyingine maelezo ya utetezi sio sawa. Hayo yote yatatolewa muda ukifika.

Zitto aliomba kujiuzulu sio kwa kukiri makosa ila kwa sababu viongozi wenzake walisema hawamuamini. Msimamo wake ulikuwa hana sababu ya kuendelea na uongozi kama hakuna trust.

Suala hilo lingeishia hapo kama ushauri uliotolewa ndani ya kikao ungefuatwa kwamba aruhusiwe kujiuzulu. Chama bado kingeweza kumchukulia hatua zaidi hata kama angejiuzulu mwenyewe na hiyo wangetumia kama sababu. Lakini badala yake ilionekana kwamba kujiuzulu ni sifa hivyo afukuzwe!! Kosa likawa hapo. Kufukuzwa/kuvuliwa uongozi ni adhabu. Utoaji adhabu za kinidhamu lazima ufuate utaratibu kaka.

Baada ya hayo yote alitafuta ushauri wa kisheria kutokana na mazingira ya suala lake. Hakuwa na nafasi ya kutafuta ushauri ndani ya kikao kwa sababu nafasi hiyo hakupewa. Na hapo unaona kwa nini ni muhimu kumpa mtu mashtaka yake kabla ili kabla hajajitetea aweze kutafuta ushauri wa kisheria. That's basic.

Suala lake liliibuka ndani ya kikao kama dharura. Na ndivyo ilivyotokea."
 
Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,436
2,000
Zitto Kabwe hakuomba kujiuzulu uongozi ndani ya chama kwakuwa ametenda kosa lolote bali kwakuwa viongozi wenzake walikuwa hawa imani nae.
Maelezo haya ameyatoa mwanasheria wa Zitto ndugu Alberto Msando.
Mpaka sasa Zitto Zuberi Kabwe ni innocent pamoja na udikteta uliotumika kumvua uongozi. Chadema inabidi mtafute mambo mengine ya kuwaambia watanzania kuhusu Zitto. Huyu ni kiongozi bora na mpiganaji wa kweli.

Hivi unavyo andika unajifikiri kwanza au you just post kwa kukurupuka? Kwani wewe pro CCM hivi unahisi unamtetea au unamponza Zitto? Au unafikiri kwa kumponza Zitto mgogoro utakuwa mkubwa CHADEMA? Huu ni ubinafsi uliokithili, you want someone to suffer kwa ajiri ya ubinafsi yako, kweli nimeamini most Pro CCM are hookworms! All they know ni kufyonza tuu, die or die not haiwahusu, selfishness at its climax! Poor you!

Wiki moja tuu tangu Mandela afe, kwa wenye akili ametufundisha kitu, kwa hookworms hamna kitu!
 
Balali

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
903
0
Amesema kuwa hatoki ndani ya CHADEMA kwani katumia muda mwingi na fedha nyingi kukijenga. Hawa wengine wanaojifanya ni wafia chama wamekuja juzi tu na wameonesha umalaya wa kisiasa

Jumbe alikuwa ndani ya ccm kwa miaka mingapi? ukipata jibu pigia mstari kwa ZZK

Acha kudanganya ZZK nimesoma naye UDS, hakuwa na lolote miaka ya 98/99 to 2000/2001. chadema ilikuwepo.

CHADEMA sio ukoo kwamba ukizaliwa huwezi kujitoa, Ngoja afukuzwe tuone inakuwaje.
 
Balali

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
903
0
Habari za jumbe huzijui wala usizifananize na Zitto.

Kijana jenga hoja, elimu zenu za Mulugo ndizo zinakufanyeni muwe na vision dhaifu

Suala hapa umesema ZZK ametumia muda mwingi au sio, ndio ukapewa jibu kwamba muda sio kigezo reference is made to

mzee Jumbe, haijalishi umetumikia au kuwepo kwa mudagani, ukisha vunja sheria, miiko na taratibu you have to go.......
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Jumbe alikuwa ndani ya ccm kwa miaka mingapi? ukipata jibu pigia mstari kwa ZZK

Acha kudanganya ZZK nimesoma naye UDS, hakuwa na lolote miaka ya 98/99 to 2000/2001. chadema ilikuwepo.

CHADEMA sio ukoo kwamba ukizaliwa huwezi kujitoa, Ngoja afukuzwe tuone inakuwaje.
Wewe ni nani kwanza mpaka ujinadi umesoma na ZITTO?. UDS ni ini mkuu? Kuja na jina lako kamili ili uthibitishe hayo maneno yako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom