Uchaguzi 2020 Zitto mnafiki na ataenda motoni kwa kuwafanyia wenzake Huu Uhuni. Membe akija pata akili patachimbika

Membe akiongea unashangaa huyu jamaa kichwani yukoje... Havutii kabisa. Nadhani apewe kazi nyingine lakini asiwe anaongea.hana mvuto ,hana point. Nmeona akipata taabu huko zanzibar anaongea pumba tu. Hawezi changamsha au hamasisha.
 
Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.

This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1.

Bernard Membe hana mvuto kisiasa hajui kuongea. Si mwanasiasa.si smart ktk siasa.huo ni ukweli. Ila Zitto Kabwe kamsukuma nenda kagombee utaungwa mkono.

Msikilize Membe anapohutubia anakera...jamaa unawaza aliwezaje kuwa kachero hata hesabu ya 1+1 inamsumbua hivi? Membe hana mvuto. Huwezi msikiliza membe. Na ni joka la kibisa. Hana meno hawezi hata kummeza mnyama.linakula unga linalala.

Siku Membe akina gundua alichofanya Zitto Kabwe kwake atalaani sana.naami kuna siku atapata akili.kwa sasa bado kujielewa.
Hakuna wanafiki kama wana CCM bro na wizi na kila uhuni nyie pepo mtaisikia tu
 
Kwahio wewe una akili zaidi ya Membe ya kugundua hilo ambalo yeye hajagundua
 
Membe akiongea unashangaa huyu jamaa kichwani yukoje... Havutii kabisa. Nadhani apewe kazi nyingine lakini asiwe anaongea.hana mvuto ,hana point. Nmeona akipata taabu huko zanzibar anaongea pumba tu. Hawezi changamsha au hamasisha.
Membe hajawahi kuongea vitu vya maana aisee.

Huyu si ndio alisema akipata urais ndani ya muda mfupi maadui zake watakimbilia Kenya(wakina Mo Dewji na wengine)?

Na Membe anamuogopa jiwe balaa hata kutaja tu jina lake hua hawezi kabisaaa,sasa Kampeni hizi watu wanataka kusikia mtu anawekwa kati anapewa madongo yake kisawasawa sijui Membe ataongea nini hapo,jamaa ni bure kabisa huyo.

Jamaa kama ni project ya kitengo wajue wanaliwa pesa zao tu.
 
Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.

This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1.

Bernard Membe hana mvuto kisiasa hajui kuongea. Si mwanasiasa.si smart ktk siasa.huo ni ukweli. Ila Zitto Kabwe kamsukuma nenda kagombee utaungwa mkono.

Msikilize Membe anapohutubia anakera...jamaa unawaza aliwezaje kuwa kachero hata hesabu ya 1+1 inamsumbua hivi? Membe hana mvuto. Huwezi msikiliza membe. Na ni joka la kibisa. Hana meno hawezi hata kummeza mnyama.linakula unga linalala.

Siku Membe akina gundua alichofanya Zitto Kabwe kwake atalaani sana.naami kuna siku atapata akili.kwa sasa bado kujielewa.
Kichwa cha habari na utumbo havihusiani kbs - wapi Membe kahujumiwa? Yupo mwanasiasa asiyejua kwamba siasa ni mchezo ubadilikao?
 
Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.

This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1.

Bernard Membe hana mvuto kisiasa hajui kuongea. Si mwanasiasa.si smart ktk siasa.huo ni ukweli. Ila Zitto Kabwe kamsukuma nenda kagombee utaungwa mkono.

Msikilize Membe anapohutubia anakera...jamaa unawaza aliwezaje kuwa kachero hata hesabu ya 1+1 inamsumbua hivi? Membe hana mvuto. Huwezi msikiliza membe. Na ni joka la kibisa. Hana meno hawezi hata kummeza mnyama.linakula unga linalala.

Siku Membe akina gundua alichofanya Zitto Kabwe kwake atalaani sana.naami kuna siku atapata akili.kwa sasa bado kujielewa.
Mnahangaika na Zitto hizo ndo hulka zake nawashangaa mnahangaika na huyo mtu chama ni CDM tu hata Kama kuna kasoro ndogo ndogo zitarekebishwa.Zitto is after business.To him money is the first slogan.
 
Back
Top Bottom