Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Hapo ndipo mlipopotea vitambulisho vilibadilishwa. Ulikuwa unarudisha cha zamani unapata kipya. Na majina yakabandikwa. Matokeo yake mtakuja kuanza kupiga kelele eti majina hayapo kumbe hakujiandikisha.
Sawa binti saluni. Mimi sikurudisha cha zamani na jina langu lipo kudadeki. Naona walianza kuniogopa mapema maana mwaka huu tunaichimba ardhi kuondoa mawe yote!
 
Lowasa huyo huyo asiyejua kumwaga sumu alizidi asilimia alizopata Dr Slaa 2010!

Ina maana Lowassa alimwaga sumu kuliko Dr Slaa?
piga hesabu ya kizazi cha shule za kata 2010-2015-2020 halafu hao ndio waliojaa mtaani na vyuoni sasa hivi ambao wengi hawamjui nyerere,wala mkapa wala mwinyi wao wanamjua jk tu halafu hawaitaki ccm kufa kupona,so usishangae TL akazoa kura za kutosha ulimwengu ukageuka juu chini,na ukumbuke tu vijana waliokosa ajira since 2015 hadi leo ni wangapi,na walipoamua kujiajiri kwenye kilimo na biashara wakakutana na majanga 100%, can u imagine how angry r they?....JIWE IS A WORSE THING IN OUR COUNTRY,HE MUST GO!!
 
Sawa binti saluni. Mimi sikurudisha cha zamani na jina langu lipo kudadeki. Naona walianza kuniogopa mapema maana mwaka huu tunaichimba ardhi kuondoa mawe yote!
Jipeni matumaini chama cha mjini wakati wapiga kura wako vijijini, sana sana mtaishia kufanya vurugu mnakutana na mkono wa dola ulio madhubuti.
 
Habari hii ni mbaya sana kwa wale wachawi na wapiga ramli chonganishi hasa kutoka kile chama pendwa.

Watakuwa wamefura vilivyo kwa hasira na mapovu mdomoni mithili ya waliomeza OmO.

Wanaendelea kuishiwa na ya kusema.

Hakuna kinachoonyesha matumaini kwa upande wao. Kwa sala na suala majibu yanaendelea kuwa negative.

Eeh mola wetu na ukawaonyeshe ukuu wako na kuwa kamwe hakuna Mungu kama wewe.
mkuu kuna ndoto zingine unapaswa kuziangalia kabla ya kuzisema.....

ccm ni chama ambacho kukiondoa madarakani mpka kunahitaji mizizi thabit kabisa.... kimsingi sio swala la imotions.. au strong political party
HAPANA KUBWA...

na sabab kubwa ni 1 tu vyama vya siasa ama kwa kujua ama kutokujua wanaround the bush.. wanajua kabisa kuwa haya mazingra hayawez kuwafanya washinde wanalazimisha kushinda kwa kutumia MEDIa ...

sása cha ajab zaidi wapiga kura wa vyama hv wapo kwenye mitandao mwisho wa sk hakuna matokeo...



sasa basi hata kama vyama vingeunda political pârty unit(PPU)
KAma hawatakuwa na macho ya kuona wapi walekebishe ni ndoto kushida...ila ck wakiamua kwa dhat kabisa wataweza....

MR B
 
Zanzibar,kIGOMA MJINI,LINDI na MTWARA Cdm wasiweke wagombea waawachie ACT, bara yote wapewe CDM kisha zipigwe kampeni za man to man kuwaelezea wananchi mabaya yote waliytendewa na utawala huu dhalimu ulioumiza makundi yote katk jamii,na hatari iliyopo endapo kama watarudia kosa again wamekwisha atavurunda zaidi maana atohitaji tena kura zao.
Wapige kura za hapana kuukataa umsikini,njaa,ukabila,udini,dabo standard,wasiojulikana,kubambikwa,nk.


TUKIRUDIA KOSA TENA TUMEKWIISHA
 
Fanyeni haraka hayo mazungumzo kwani siku ya Uteuzi ya NEC ni in the next seventeen days. Si muda mrefu hasa ukizingatia na kutilia maanani kuwa Lissu anautaka Urais kufa na kupona na Membe anautaka Urais kufa na kuzikana!

Kitakachofanyika ni Membe kutorudisha fomu.
 
Lowassa alichafuliwa fisadi,mgonjwa. Ukizingatia alikuwa hawezi kuongea na kujitetea na kumwaga Sumu. Lowassa angekuwa kwenye hali nzuri ya kuongea,angeshinda.

Lowassa alishinda, sema hakuwa na afya ya kutetea ushindi wake
 
Back
Top Bottom