Zitto: Maisha yetu hatarini

Drama za watu bana eti maisha yako hatarini,upumbaf mtupu,mtu adhamirie kabsa kukuondoa utachukua hata dakika tano kweli?.
 
siasa nyepesi sana hizi zinawisho wala hazichukui mda mrefu sana.
 
Kweli mkuu na huyu G'su atakuwa mhusika wa njama hizo sasa ajiandae kunyea debe segerea

Nipo mtaani ndugu kwa sasa nipo hapa hazina dodoma nimekaa na washikaji tunagonga juice huku tukifuatilia bunge baada ya hapo tukutane dodoma hotel kwa chakula cha mchana baadaye usiku tutakuwa maisha club na baadhi ya waheshimiwa wabunge wala hatuogopi tunajiamini lakini pia ukinitafuta kwa ubaya ujipange kweli kweli siyo mwepesi kama mzee slaa au mshumbushi naweza kukuaibisha mapema kabisa.
 
Drama za watu bana eti maisha yako hatarini,upumbaf mtupu,mtu adhamirie kabsa kukuondoa utachukua hata dakika tano kweli?.

Achilia mbali kumuondoa ata kumgusa kwa sasa haiwezekan,we jaribu uone utakavyotobolea tobolewa tumbo lako
 
Asant mkuu mtoto akililia wembe mpe,so ujiandae kuupokea kwa mikono miwili
 
siasa nyepesi sana hizi zinawisho wala hazichukui mda mrefu sana.

Kumbuka sisi sio watanzania wenzako na hatupeleki mambo kiswahili,uliza viongozi wenu wanaokujaga huku watawaambia vzr sisi,mmekwisha kwa pa1 bingwa wangu
 
Acha kuchekesha watu ndugu yangu. Wewe sio raia wa tanzania sasa mambo ya huku tuachie wenyewe
 
Acha kuchekesha watu ndugu yangu. Wewe sio raia wa tanzania sasa mambo ya huku tuachie wenyewe

Sio raia ila nina asili ya huko. Ngugu, wazazi na jamaa zangu nliowaacha huko wote ni watanzania. So kwahiyo haya mambo yananihusu na kwakuwa nina uwezo wa kusaidia kupambana nayo acha nisaidie nkishirikiana na wenzangu ambao na wao wana asili ya huko na wengine wazungu tu walioamua kuwa nyuma yetu ktk swala hili,cause linahusu Taifa na sio mtu m1 m1
 
nyie wapumbavu hebu tuelezeni mlitaka kumuua Mkono kwa nini? kwanini pia isiwezekane kwa akina Zitto?

Drama za watu bana eti maisha yako hatarini,upumbaf mtupu,mtu adhamirie kabsa kukuondoa utachukua hata dakika tano kweli?.

siasa nyepesi sana hizi zinawisho wala hazichukui mda mrefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…