Zitto Live on Channel ten (June 10, 2012)

hiyo ni waliyoomba heslb lakini walipewa bilioni 93!

Yap yap yap mkuu wanafunzi waliokuwa registered walikua zaidi ya laki moja so heslb walikosa mpunga so wanafunzi wengi wakalambishwa mchanga.
 
mradi wa umeme vijijini bunge lilipitisha pesa lakini taasisi yenye dhamana ya REA hawakupewa
 
Zitto atoa muarobaini wa namna ya kukamata makampuni ya simu yanayokwepa kodi


TCRA wanafunga kifaa kitakacho-monitor every call/sms. Hivyo cheaters watapungua lakini shida ninayoona hapa 'shareholders' wa haya makampuni wanaweza ku-delay implementation ya ufungaji kifaa hicho. Huu ni mtihani kwa January.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…