Zitto Live on Channel ten (June 10, 2012)

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
15,044
Reaction score
5,115
wadau tujumuike, usikose live updates! Je atamjibu Wassira kwa kauli ya dharau pale chadema square!
 
kuna baadhi ya wizara zimepewa 30% ya budget iliyopita! Hela zinakwenda wapi?
 
30% ambayo ni zaidi ya trilioni 2 zitatumika kulipa deni la taifa ambalo lime double ndani ya miaka 5!
 
pesa nyingi zinapotea kwa misamaha ya makampuni ya simu, madini, watafuta mafuta.
 
kuhusu mbunge kupokea rushwa, Zitto anamnukuu prof Chachage kuwa hali hiyo inatokana na jamii ilivyo! Wabunge wengi wameingia bungeni kutokana na rushwa
 
Namkubali Zitto anachambua mambo mengi ya msingi yanayohusu bajeti yake ya fedha kama waziri wa fedha kivuli
wadau tujumuike, usikose live updates! Je atamjibu Wassira kwa kauli ya dharau pale chadema square!
 
Kampuni za cm zinatakiwa zilipe kodi,tiGO na Vodacom hawajakuwepo mapato yao ni trillion 1.7 kwa mwaka!
 
Zitto atoa muarobaini wa namna ya kukamata makampuni ya simu yanayokwepa kodi
 
Zitto anapendekeza makampuni yote makubwa kila saa sita na dakika 10 usiku wawe wanatuma email kwenda kwa goverment officer(wa mapato) kuelezea siku hyo wameingiza sh ngapi hili iwe rais kukusanya kodi kwa mwaka based on report from CEO.
 
mgodi wa dola mil 50 watu waliuziana kwa dola laki 8 huko Kiwira! My foot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…