Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

Status
Not open for further replies.

Nakuunga mkono mkuu.
 

hiyo safari hamtafika nakuhakikishia, mbegu mliyo ipanda nyie ni gugu hali wezi stawi, hata likistawi litakuwa karahaa tu kwa mbegu nzuri
 

mwaka huo 2009 kulitokea nini au umeaminishwa nini? manaake akina wasira walianza kumshawishi aweke mgogoro unaobeba dhana ya udini, ukabila et el, ndio maana wewe na jamaazako wa CCM Mkatunga terminology kama chagadema et el! ilikuwa special agenda ambayo muda c mrefu tutaimwaga humu, kuwa mvumikivu kidoogo utashangaa!
 
Hebu achana na huu ujinga Zitto kisha ondoka CDM ana chama chake bado yuko upinzani, ni wakati sasa wa kuangalia mbele hii single ya usaliti imechuja tusonge mbela.....

 
Hebu achana na huu ujinga Zitto kisha ondoka CDM ana chama chake bado yuko upinzani, ni wakati sasa wa kuangalia mbele hii single ya usaliti imechuja tusonge mbela.....

kaondoka ndio lakini mambo anayoongea baada ya muda vitamwagika vitu hapa na pia ni wajibu kila mtu amwelewe kiongozi wake vizuri na malengo yake!

kama uko ACT ujue huyo mwanzilishi je ni mtu honest au anawasanii watanzania kwa ajili ya ma elite fulani! open up your eyes!
 

Wenzio kina SAANANE na YERIKO wametangaza nia ya kugombea ubunge wakati utakapo fika, hatutazamii wakati ukifika wawekewe mikingamo katika njia wanayo pita hili hatutalikubali. unajua kwamba BEN ni mtu wa Rombo unadhani nini kitampata kwa mtazamo wako, lakini pia ni ujinga kila unayetofautiana naye mawazo kudhani yuko chama tofauti na wewe.
Zitto ni kijana kuna ndoto zinapita kichwani mwake kama hao nilio wataja naongea nawe kwa sauti ya chini acha kupiga vita vijana wenzio....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…