Zitto: Kwa miaka 4, Magufuli ameshakopa mikopo ya nje na ndani ya zaidi ya trilioni 29. Ni mikubwa zaidi ya mikopo ya Kikwete kwa miaka 10

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1581684371554.jpg

FB_IMG_1581695064971.jpg
 
Halafu jamaa anakopa kununua ndege ili apate 10%

Tatizo ni la sisi watanzania pamoja na ccm haiwezekani kuacha nchi iongozwe kwa matakwa ya mtu mmoja

Nchi ilipotea tuliporuhusu Mshauri mkuu wa Magufuli Awe Makonda na kagame hakika tulifanya kosa kubwa sana kupeleka mtu asiye na tija Ikulu.
 
Serikali ya wanyonge umekopa kila mahala, mifuko ya hifadhi ya jamii inaelekea kufirisika,mfuko wa bima ya afya, mabenki hadi vikoba.

Wakisimama mishipa inawatoka, ni pesa zetu za ndani, hatukopi, hela ipo, hii dona kantri. Baadae unasikia tunakopa kwa sababu uwezo wa kulipa tunao.

Na bado, miaka 5 ndio itakua balaa.
 
Wakisimama mishipa inawatoka, ni pesa zetu za ndani, hatukopi, hela ipo, hii dona katri. Baadae unasikia tunakopa kwa sababu uwezo wa kulipa tunao.

Na bado, miaka 5 ndio itakua balaa.
Siku raia tukijua mbaya wetu tutakifuta kizazi chao chote cha sisiemu kwa petrol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya wanyonge umekopa kila mahala, mifuko ya hifadhi ya jamii inaelekea kufirisika,mfuko wa bima ya afya, mabenki hadi vikoba.

Wakisimama mishipa inawatoka, ni pesa zetu za ndani, hatukopi, hela ipo, hii dona katri. Baadae unasikia tunakopa kwa sababu uwezo wa kulipa tunao.

Na bado, miaka 5 ndio itakua balaa.
NHIF ni maiti inayotembea , watoa huduma wamekopwa hadi wengine wamefirisika !
 
Hoja sio kukopa, hoja ni kama unaweza kukopeshwa!

Halafu kadri unavyokuwa na uwezo wa kulipa ndivyo unavyokuwa na nafasi ya kukopeshwa zaidi. Ndio maana mikopo ya nchi za Ulaya na Marekani ni mikubwa ukilinganisha na nchi za Afrika.

Hii inaenda hata kwa mtu mmoja mmoja.

Sent from my iPhone
 
Serikali ya wanyonge umekopa kila mahala, mifuko ya hifadhi ya jamii inaelekea kufirisika,mfuko wa bima ya afya, mabenki hadi vikoba.

Wakisimama mishipa inawatoka, ni pesa zetu za ndani, hatukopi, hela ipo, hii dona katri. Baadae unasikia tunakopa kwa sababu uwezo wa kulipa tunao.

Na bado, miaka 5 ndio itakua balaa.
Jamaa Unatafutwa Na Police, Kuweka Avatar Tata!!!
Jamhuri Itakupa Tabu 😃😄😁😁
 
Hoja sio kukopa, hoja ni kama unaweza kukopeshwa!

Halafu kadri unavyokuwa na uwezo wa kulipa ndivyo unavyokuwa na nafasi ya kukopeshwa zaidi. Ndio maana mikopo ya nchi za Ulaya na Marekani ni mikubwa ukilinganisha na nchi za Afrika.

Hii inaenda hata kwa mtu mmoja mmoja.

Sent from my iPhone
Wakija kushika njia za uchumi kwa kushindwa kulipa madeni mtaanza kuwaita mabeberu
 
Back
Top Bottom