Zitto Kuzungumza na waandishi wa Habari Kesho 26/03/2019

Msajili wa vyama kamtishia zitto nini au Magu? Manake hawachelewi.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Pamoja na madaraka walionayo washamba na malimbukeni wanahangaika kweli, kwa mambo ya kitoto na hovyo hivi huwa wanalala kweli au ni kuweweseka tu.
 
Wanajijua hawapo kihalali hapo walipo.hivyo Kila siku ni kujishuku tu na hofu kubwa.
 
Back
Top Bottom