Zitto kung’oka CHADEMA

Ulitaka yeye awawekee maji kwa pesa zake laumu serikali kazi ya mbunge ni kuliongelea jambo tu na utekelezaji ni wa serikali kuu.bavicha mna taabu sana

Mnawaogopa bavicha sanaaaaa
 
Jamani chadema imekwisha tusidanganye watu hapa, eti dr slaa,,,,analipi jipya huyu babu????
 
Jamani chadema imekwisha tusidanganye watu hapa, eti dr slaa,,,,analipi jipya huyu babu????

Sasa kama Chdm kimekwisha mbona tuko bize kuijadili hapa mtandaoni na kwenye vikao vyetu vya chama? Tuijadili CCM yetu tuachane na Chadema, Tuwaache wafanye yao
 
R.I.P Nyerere Siku Ya 14 octoba ni ya kumbukumbu yako! japo kuna watu wachache wanaokubeza na kukutukana.
 
Last edited by a moderator:
Jamani chadema imekwisha tusidanganye watu hapa, eti dr slaa,,,,analipi jipya huyu babu????
Miaka mitatu iliyopita Wasira alituambia kuwa CHADEMA ingekufa baada ya miezi sita lakini mpaka leo bado inadunda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…