Zitto: Kigogo kutoka CCM ambae aliwahi kushika nafasi nyeti serikalini, kukabidhiwa kadi namba 2 ya uanachama wa ACT Wazalendo

Safi sana hivyo ndivyo inavyotakiwa!

JPM must be politically Challenged, na akipigwa pressure ya maana kutoka kona zote ndani ya upinzani, civil service, wafanyabiashara, upinzani ndani ya CCM kwa hulka yake jinsi ilivyo lazima atachanganyikiwa na ni lazima atafanya miscaluculations tu, halafu upinzani unapitia hapo hapo!!

Huyo Kigogo aje haraka sana ili dynamics za siasa nchini zibadirike!!!
Kama ni brother Membe hiyo imekaa poa sana!!!
Hizo ni ndoto za mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaoijua ACT Wazalendo na Zitto hawatastushwa na hili,tunajua ni zuga tu.Labda asiyeielewa ACT ni Maalim Seif.
Ndo mana nilihofia kuwa Maalim anaenda kupigwa kwenzi moja nzito sana....ACT inamilikiwa na Lowasa pamoja na kubwa la maadui Rostam..watu ambao wana share na JPM
 
Wacha tusubiri!

In case ni Mr.Maembe,basi ACT wawe makini sana.

Alli in all,ushirkiano wa vyama vya upinzani ni muhimu kuliko ilivyowahi kuwa muhimu katika siku za nyuma.
Una maana ni pamoja na CUF hii ya Prof. Lipumba,?!!
 
#SafariIendelee
D2WXbOjXQAM_Loq.jpg
Hayo ndiyo makosa hufanyika. anakuja anawadekisha lami badaye anarudi nyumbani anawaacha vipandevipande.
 
Safi sana hivyo ndivyo inavyotakiwa!

JPM must be politically Challenged, na akipigwa pressure ya maana kutoka kona zote ndani ya upinzani, civil service, wafanyabiashara, upinzani ndani ya CCM kwa hulka yake jinsi ilivyo lazima atachanganyikiwa na ni lazima atafanya miscaluculations tu, halafu upinzani unapitia hapo hapo!!

Huyo Kigogo aje haraka sana ili dynamics za siasa nchini zibadirike!!!
Kama ni brother Membe hiyo imekaa poa sana!!!
Ndiyo kwanza JPM atalala usingizi mwololo!!
Kama hadi leo hujui kazi ya system, basi muulize Mbowe akupe habari ya Lowasa
 
Hali hii inaweza kumfanya huyo aitwae kigogo kughairi! kwani comments za humu JF zinaweza kumfanya akili zirudi na kufanya maamuzi ambayo hakukusudia! Unless Zitto nae anafanya utafiti kujua mawazo ya wadanganyika. Just thinking aloud in P's voice!
 
Back
Top Bottom