georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
La Rostam Aziz. Je unawajua wakoje na Lowassa
Ni sawa na kumpa mbu kazi ua kutibu malaria.
Siyo la Rostam kweli. Na Rostam na Lowassa utawatofautishaje? Ngoja tu waende ikulu ndo utaona. Poor Tanzania!Gazeti la Mtanzania sio la Lowasa
Calm down. Unatumia nguvu nyingi mno kujenga hoja yako. Yaani kama nakuona hapo ulivyo excited na unavyohangaika. Utakuja kujipa heart attack bure. Kama ni mabadiliko yatakuja tu hata bila wewe kupata heart attack. Ni siasa. Tarehe 26 Oktoba jua litachomoza na maisha yataendelea!Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
Haitakuwa ya kwanza kutokea dunia ishatokea sana,Paul alikuwa ndiye muua watumishi wa Mungu mwisho akawa mtumishi mzuri,Saul alikuwa mla rushwa na mtoza ushuru ila unajua aliishia wapi,hata baadhi ya marais wa kiafrica walikuwa waasi Leo wanafanya nn!
tatizo la wanaccm mna static mind.hamtaki kujua Kuwa watu siku zote ni dynamic
Kuna mtia nia mmoja ndio aliahidi haya mambo,yeye hatokamata watoaji bali wapokeaji tuHaa ha ha labda anamaanisha ndan ya siku hizo 100 ataifanya rushwa kuwa ruksa hivyo haitakuwa kosa tena kwa mujibu wa sheria maana hiyo itakuwa serikali ya wapiga deal watupu, kuanzia Lowassa,Sumaye,Mbowe chini ya marafiki zao Rostam,Karamagi na Chenge.Ni deal kwa kwenda mbele
Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
Hujamuelewa..anamaanisha hivi: Kama atashinda, kwasikh 100 ( miezi3) ya uongozi wake ndiyo Rushwa itadhibitiwa. Baada ya hapo ni full kujiachia.Huyu mzee siyo mzima kichwani mwake yani mla rushwa namba moja awe mdhibiti rushwa kweli ujinga kipaji.
Kuna mtia nia mmoja ndio aliahidi haya mambo,yeye hatokamata watoaji bali wapokeaji tu
Nashangaa wewe unajua unashindwa kuripot TAKUKURU na kwenye vyombo vya usalama....unashiriki KUIHUJUMU nchi huku unakenua tuNa Lowassa ana historia nzuri ya kupokea
Gazeti la MTANZANIA la leo limeandika Zitto, Kafulila washambuliana, watuhumiana kwa wivu wa kisiasa, ushirikina.
Kafulila asema " Kijana anapokuwa na chuki za kichawi ni mbaya sana maisha haya, nina uwezo wa kusimama mwenyewe"
Zitto ajibu " Siwezi kukuchukia, Mungu ndiye anayejua atashinda nani, ninachojua hakuna wakala wa manamba atashinda Mkoa wa Kigoma"
Kwa bahati mbaya ama bahati nzuri, nawafahamu sana Kaka zangu hawa kinagaubaga...Hili BINAFSI limenisikitisha, We have very long way to go....sisi ni Vijana, na kisha kuna maisha baada ya siasa. Tukijiendekeza kuishi kwa maelekezo, our future will be doomed.
"Unafiki mtupu, unasema asiyekufuata ACT hawi Mbunge Kigoma
Acha upuuzi kulinganisha mambo ya Mungu na huyo fisadi wenu...tambua Paul baada ya kukutana na Mungu ALITUBU NA KUPELEKWA JANGWANI MIAKA MITATU NA NUSU..KULE ALIKUWA ANATOLEWA UJINGA WOTE NDO AKARUDI KUONANA NA MITUME
SWALI: NI LINI LOWASA ALITUBU AKAKIRI KUHUSIKA NA RUSHWA UFISADI MKUBWA HAPA NCHINI??? SIKU ZOTE ANAJIHESABIA HAKI KUWA HAKUFANYA WAKATI HATA MITI NA NDEGE WANAJUA NI FISADI TANGU ENZI ZA NYERERE..ISITOSHE NA WW BADALA YA KUMWAMBIA ATUBU UNAMPIGIA CHAPUO KUWA YUKO SAHIHI..Kitu kama hukijui usiongee unajidhalilisha...
Inasikitisha sana aisee...