Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Hakuna rangi tutaacha kuona awamu hii..Hivi mtatueleza nini 2025?
Mungu atupe uhai tuone hiyo neema inayokuja.
Walisema sana wanahujumiwa na wabunge na viongozi wa upinzani wakishirikiana na mabeberuHakuna rangi tutaacha kuona awamu hii..
Huu ushindi wa kishindo una maana yake "acheni tujipongeze kumaliza upinzani"
Huwa wanatafuta vichaka vyepesi vya kufichia madhaifu yao "hivi kwanini neno mabeberu huwa liko Tanzania tu? Hao tunaowaita mabeberu ndio tunaowakimbilia kila uchao!! Net zao ndio zinawafunika hata haohao wanaowakashifu achilia mbali ile miradi "kwa hisani ya serikali ya kibeberu!!"Walisema sana wanahujumiwa na wabunge na viongozi wa upinzani wakishirikiana na mabeberu
Nadhani sasa baada ya kukosa scapegoat watahamia kwa wafanyabiashara. Watawa extort watimize matakwa yao ya kusupport majukumu ya serikali or else watabebeshwa furushi la mavi la uhujumu uchumi kwa kushirikiana na mabeberu.
Then watapanda majukwaani kusema wanahujumiwa ndio maana maendeleo hayaji. Mtu una serikali, dola, bunge unahujumiwa vipi?
Wafanyabiashara mbona yameshatukuta mkuu!!!Walisema sana wanahujumiwa na wabunge na viongozi wa upinzani wakishirikiana na mabeberu
Nadhani sasa baada ya kukosa scapegoat watahamia kwa wafanyabiashara. Watawa extort watimize matakwa yao ya kusupport majukumu ya serikali or else watabebeshwa furushi la mavi la uhujumu uchumi kwa kushirikiana na mabeberu.
Then watapanda majukwaani kusema wanahujumiwa ndio maana maendeleo hayaji. Mtu una serikali, dola, bunge unahujumiwa vipi?
Kama ilivyo Zanzibar kama Dubai maana walikuwa peke yao 2015-2020!Miaka 5 ijayo Tanzania kama Ulaya πππ
πππ yaani majirani watatukoma, yajayo yanafurahishaKama ilivyo Zanzibar kama Dubai maana walikuwa peke yao 2015-2020!