msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Leo nilipokuwa katika pitapita zangu nimeshangaa kila kona watu wamtune TV zao na redio zao wanalifuatilia Bunge kama vile ni tamdhilia ya kusisimua au kombe la dunia. Nikakutana na kundi kubwa la vijana waksema kuwa mhe zitto ni jembe na anapaswa awe waziri mkuu wa serikali ya awamu ijayo ya UKAWA. Jamani kweli anafaa au hafai???
Mimi binafsi namkubali sana huyu jamaa!
Mimi binafsi namkubali sana huyu jamaa!