Zitto Kabwe usiwapotoshe watanzania

Zitto Kabwe usiwapotoshe watanzania

Trump2

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,553
Reaction score
2,610
KUHUSU KODI UNAYODAI SERIKALI IMEPOTEZA KATIKA SAKATA LA MAKINIKIA ( CAPITAL GAIN TAX AMOUNTING TO TZS 1.8 TRILION).

Moja, Mheshimiwa Zitto Kabwe, awali tukusalimu na nikupe Pole kwa kazi unayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa Jimboni kwako.

Pili, nikupe Pole kwa kuanza kuupoteza Uzalendo wako wa zamani. Sisemi kukosoa Serikali ni kukosa Uzalendo kama ukosoaji wako unalenga kujenga hapana nitasema unakosa Uzalendo kwa upotoshaji wako mkubwa kuhusu madai yako ya kwamba serikali imepoteza Capital Gain tax kiasi cha Shillingi Trillioni 1.8 katika sakata la Serikali na Acacia.

Tatu, Mheshimiwa Zitto Kabwe, Kwenye ukurasa wako wa twitter tarehe(19/10/2017) na mazungumzo yako huko nyuma Umekuwa uking'ang'ania kuwa Serikali ya Tanzania imekosa Capital Gain Tax (CGT) kwa kuvuruga utaratibu wa uuzwaji wa ACACIA baada ya kukamata makontena yaliyokuwepo bandarini. Nanukuu maneno yako (“Mwezi Machi 2017 niliwaambia Watanzania kuwa tumepoteza TZS 1.8 trilioni za kodi ya capital gains kwa maamuzi ya papara ya Rais kuhusu mchanga”). Pia katika Press ya Chama chenu kinachokimbiwa na wanachama ACT, Umerudia uongo ule ule.

Mheshimiwa Zitto, mimi kama Mtanzania mzalendo naomba nikjibu na nikufundishe kidogo kuhusu kodi kwa ujumla hasa Capital Gain Tax ili kesho usiupotoshe Umma wa Watanzania lakini pia na wewe uelewe. Pili ujitokeze hadharani kuomba msamaha kwa upotoshaji wako mkubwa ambao umeufanya bila woga wa aina yoyote.
Labda nikupe ufananuzi kidogo kuhusu maana ya kodi kwa ujumla na hii Capital gain tax ambayo mheshimiwa Zitto Kabwe umeifanya ni wimbo usiochuja mdomoni mwako

UTANGULIZI KUHUSU KODI YA MAPATO
Kodi ni mchango wa lazima kwa serikali kwa kila faida unayoipata, siyo kwa mauzo unayoyafanya. Mazingira machache sana mtu hulipa kodi kwa mauzo hasa anapopata hasara ya miaka mitatu mfululizo. Kiwango ni 0.3% ya mauzo ya mwaka wa tatu. Kodi ipo kwa mujibu wa sheria ya kodi ya mapato ya waka 2004 (The Income Tax Act, 2004). Lengo lolote la serikali ni kila mwananchi anapopata faida achangiae katika pato la nchi yake kwa kutoa mchango wa lazima ambao ni kodi. Kazi hii inasimamiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambayo ilianzishwa na sheria ya Bunge Na.11 ya mwaka 1995, mamlaka ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996.

CAPITAL GAIN TAX (KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI YA MTAJI) NI NINI?

Nianze kwa kufafanua neno gain.
Neno gain maana yake ni ongezeko(faida). Na maana hii imefafanuliwa katika Sura ya Tatu ya Sheria ya kodi ya Mapato (Section 3 of ITA, 2004) na maelezo ya ziada katika sura ya 36 ya Sheria ya Kodi ya Mapato. (Section 36 of ITA, 2004).

Mfano umenunua hisa kwa Milioni TZS 20 mwaka 2016 mwaka 2017 ukaamua kuziuza kwa milioni 30. Gain (pato la ziada la ongezeko la mtaji) itakuwa Milioni 30 toa milioni 20 ambapo utakuwa umepata pato la ziada milioni 10 (Ongezeko la thamani ya rasilimali mtaji). Labda na gharama wakati wa mauzo nilitumia Milioni 2. Nikitoa na hizi gharama yaani Milioni 10 toa Milioni 2 nabaki na Milioni 8.
Ni hiki kiasi cha ziada ulichopata (TZS Milioni 8) sheria inakutaka ugawane na nchi yako, utachangia nchi yako(kodi) kwa kuwapa serikali asilimia 10% au 20% kutegemeana kama wewe ni Resident au “non resident” kupitia mamlaka ya mapato TRA.

JE SHERIA YA MAPATO YA TANZANIA (THE INCOME TAX ACT, 2004) INAZUNGUMZAJE KUHUSU CAPITAL GAINS TAX?

Mheshimiwa Zitto, Sehemu hii ni pana kidogo. Sitaweza kuelezea sehemu zote lakini nikufahamishe kuwa kuna ezea sehemu muhimu Tatu ambazo msingi wa Capital gain tax upo. katika sheria yetu ya kodi ya mapato ya mwaka 2004. Sehemu hizo ni (Section 36 of the Income Tax Act, 2004), Uuzaji wa Biashara au ubadili wa umiliki wa Biashara (Change in underlying Ownership) Section 56 of the Income Tax Act, 2004 na Kodi ya kulipwa kwa mkupuo yaani awamu Moja (Single Instalment tax) iliyo chini ya Section 90 Of the Income Tax Act, 2004.

JE ACACIA ANGELIPA CAPITAL GAIN TAX KWA ASILIMIA 20?

Jibu ni kwamba ingetegemea shareholders wake ni tax resident wa Tanzania au la (Section 66 of The Income Tax Act, 2004 inazungumzia residence status ya watu mpaka makampuni). Kwa Acacia angelipa Capital Gain Tax kama mkaazi wa Kodi wa Tanzania kiasi ingekuwa 10% na kama si tax resident ni 20%. Lakini kwa Mujibu wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania Acacia ni tax resident wa Tanzania. Kwa kutumia maamuzi ya mahakama ya Rufaa ya Tanzania Acacia ni Tax resident, asilimia ingekuwa ni 10%.

JE KUNA UHALALI WA WEWE MHESHIMIWA ZITTO KUMSHUTUMU RAIS KWAMBA ALIKOSEA KUUSHIKILIA MCHANGA NA KUSABABISHA MAUZO YA KAMPUNI YA ACACIA YASIFANYIKE?

Jibu ni hapana kwasababu hakuna mahali panaonesha Kampuni ya Acacia ilikuwa imeshafikia hatua ya kununuliwa. Yalikuwa ni mazungumzo. Ni sawa na mchumba akataka kumchumbia dada yako na kwenu hajaja na mazungumzo yao wawili yakaishia huko huko walikokutana. Sidhani kama utamuita ni mchumba. Sote hatujui ni nini kingetoa mpaka mwisho katika mazungumzo ya hizo Kampuni Mbili. Na pia hujatutajia Kampuni gani ilitaka inunue Acacia.
Mheshimiwa Zitto Kabwe, Fahamu kuwa Kuna muda biashara (kampuni) inawezwa kuuzwa kwa hasara au kwa faida. Tunatambua faida (ongezeko la thamani ya mtaji) kwa kuchukua bei ya mauzo tunatoa gharama zote zinahusiana na hiyo kampuni inayouzwa. Kile kiasi cha juu ndicho kinacholipiwa Capital Gain Tax.
Mheshimiwa Zitto yamkini uliona bei tarajiwa ya kununuliwa kwa kampuni (price of acquiring the Company) ila hukujua thamani ya mwanzo ya kampuni na gharama zake ambazo zilitakiwa zitolewe kwenye mauzo ipatikane ongezeko la thamani ya mtaji ambayo ingelipiwa Capital Gain Tax au hasara.
Ushauri, usizungumze Masuala ya kitaalamu bila kujua au kuomba wataalamu. Kuwa Kiongozi wa Chama kinachokimbiwa na wanachama kila kukicha yaani ACT WAZALENDO haimaanishi unajua kila kitu, hata mimi sijui kila kitu.

MHESHIMIWA ZITTO KABWE JE WEWE NI MUONGO?

Jibu ni ndiyo ni Muongo 100% kwasababu chache zifuatazo;
Moja Mheshimiwa Zitto Kabwe, Umedanganya kuwa serikali ya Rais Magufuli ilikosa Kodi (Capital Gain Tax-CGT) kiasi cha TZS 1.8 Trillion. Huu ni uongo kwasababu Kampuni haikunuliwa na hicho kiasi Ulikokotoa kimakosa. Hata kama kampuni ingenunuliwa Capital Gain Tax isingekuwa Kiasi hicho.
Pili, Mheshimiwa Zitto Kabwe umesema Kodi ni asilimia 20%. Hii asilimia ni ya Non-Tax Residents lakini kwa Mujibu wa Mahakam ya rufaa ya Tanzania Acacia ni resident wa Tanzania. Asilimia ingekuwa ni 10%.
Tatu, Mheshimiwa Zitto Kabwe hufahamu kuwa Capita Gain Tax hukokotolewa kwa kuchukua Bei ya Mauzo ya rasilimali mtaji za Kampuni unatoa thamani ya Rasilimali Mtaji ya awali ya Kampuni na gharama zake (excess of market value over the cost of investment asset reduced by sum of expenditure incurred in acquiring the asset) , halafu kinachobaki ndicho unalipia Kodi. Kwahiyo hata kama kungekuwa na Capital Gain isingekuwa kiasi cha TZS trillion 1.8 unazodai.

JE KATI YA WEWE NA MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI NANI ANA PAPARA?

Jibu ni wewe Mheshimiwa Zitto Kabwe, hukufanya utafiti kuhusu kodi ukakurupuka tu. Kujua Kuzidisha tu hesabu imekuwa Nongwa kubwa. Ulichukua 4.4bn USD mara 20% ukapata USD 880Mil, ukajua ndio Kodi. Kodi ni sheria tena inayohitaji uwe na ufahamu. Si kuzidisha tu namba.
USHAURI WANGU KWAKO MHESHIMIWA ZITTO ZUBERI KABWE.

Ninakushauri Mheshimiwa Zitto Kabwe ukajiunge na chuo cha Kodi Pale ATA ili ajifunze kodi na kuacha kudanganya Umma maana wewe kiongozi na kioo cha Jamii.

ILANI
Maoni haya ni yangu binafsi kama mtazania.
 
Ngoja niandae popcorn asee hii movie imefika patamu.
 
huyu jamaa ni mnafiki sana.....SIJUI KWANINI ZITTO amekuwa ni mtu wa kutembelea mambo ya kujiropokea......SIJUI AMEANZA KUZEEKA?
Nakumbuka kipindi fulani ALIWAANIMINISHA WATANZANIA UWONGO WA AJABU KUHUSU MAKATO YA VOCHA ZA SIMU....
 
Akirudi kwa wachaga safari hii watamfanya ndafu
Zitto-na-Mbowe.png
 
Naamini Serikali ina watendaji na wataalamu wengi sana kama issue ya majadiliano ya makinikia ilivyonyesha. Kosa kubwa ni kwa yoyote kuamini kuwa Rais pekee ndio anafanya maamuzi ya kila kitu peke yake. Wrong, Very wrong!
 
Nimekupata kaka
 
kwa uzi huu bei itapanda, leo utapata buku nane kwa kutaka kubishana na zitto
 
Once a Traitor always a Traitor!!

Huyu ndugu aliitwa msaliti ndani ya chadema na alionekana kufanya matendo ya kisaliti ndani ya Chadema.

Dr Slaa,lissu,lema na Mbowe walitambua hili na hatimaye wakamtoa ,jambo ambalo lilisababisha tikisiko kubwa ndani ya Chadema.

Alijitetea sana na alitetewa sana kabla ya baadae kudhihirisha usaliti wake na kuibuka na ACT Wazalendo(sijui nani alimpa hela ya kuanzisha chama)

Hatimaye leo hii tunashuhudia wengi wa wanachama wake wakirudi CCM na pengine hata na yeye tunaweza kumsikia anarudi CCM.

Kwa muktadha wa historia ya zitto kama ilivyojianisha hapo juu ni kweli aliwasaliti Chadema na hastahili huruma ya Chadema.

Alifanya hivyo bila kisababishi cha mgogoro ndani ya Chama au mantiki yoyote inayoeleweka...hii ni tofauti na Dr Slaa aliyeachana na Chadema kwa sababu ya Ujio wa lowassa.

Leo hii Zitto ameanza tena kutajwatajwa katika kulisaliti Taifa.

Ni vyema akashauriwa kupumzika kwani kama kijana ana muda mrefu wa kuonekana Tanzania na anapaswa kuamia upande ulio sahihi.
 
KUHUSU KODI UNAYODAI SERIKALI IMEPOTEZA KATIKA SAKATA LA MAKINIKIA ( CAPITAL GAIN TAX AMOUNTING TO TZS 1.8 TRILION).

Moja, Mheshimiwa Zitto Kabwe, awali tukusalimu na nikupe Pole kwa kazi unayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa Jimboni kwako.

Pili, nikupe Pole kwa kuanza kuupoteza Uzalendo wako wa zamani. Sisemi kukosoa Serikali ni kukosa Uzalendo kama ukosoaji wako unalenga kujenga hapana nitasema unakosa Uzalendo kwa upotoshaji wako mkubwa kuhusu madai yako ya kwamba serikali imepoteza Capital Gain tax kiasi cha Shillingi Trillioni 1.8 katika sakata la Serikali na Acacia.

Tatu, Mheshimiwa Zitto Kabwe, Kwenye ukurasa wako wa twitter tarehe(19/10/2017) na mazungumzo yako huko nyuma Umekuwa uking'ang'ania kuwa Serikali ya Tanzania imekosa Capital Gain Tax (CGT) kwa kuvuruga utaratibu wa uuzwaji wa ACACIA baada ya kukamata makontena yaliyokuwepo bandarini. Nanukuu maneno yako (“Mwezi Machi 2017 niliwaambia Watanzania kuwa tumepoteza TZS 1.8 trilioni za kodi ya capital gains kwa maamuzi ya papara ya Rais kuhusu mchanga”). Pia katika Press ya Chama chenu kinachokimbiwa na wanachama ACT, Umerudia uongo ule ule.

Mheshimiwa Zitto, mimi kama Mtanzania mzalendo naomba nikjibu na nikufundishe kidogo kuhusu kodi kwa ujumla hasa Capital Gain Tax ili kesho usiupotoshe Umma wa Watanzania lakini pia na wewe uelewe. Pili ujitokeze hadharani kuomba msamaha kwa upotoshaji wako mkubwa ambao umeufanya bila woga wa aina yoyote.
Labda nikupe ufananuzi kidogo kuhusu maana ya kodi kwa ujumla na hii Capital gain tax ambayo mheshimiwa Zitto Kabwe umeifanya ni wimbo usiochuja mdomoni mwako

UTANGULIZI KUHUSU KODI YA MAPATO
Kodi ni mchango wa lazima kwa serikali kwa kila faida unayoipata, siyo kwa mauzo unayoyafanya. Mazingira machache sana mtu hulipa kodi kwa mauzo hasa anapopata hasara ya miaka mitatu mfululizo. Kiwango ni 0.3% ya mauzo ya mwaka wa tatu. Kodi ipo kwa mujibu wa sheria ya kodi ya mapato ya waka 2004 (The Income Tax Act, 2004). Lengo lolote la serikali ni kila mwananchi anapopata faida achangiae katika pato la nchi yake kwa kutoa mchango wa lazima ambao ni kodi. Kazi hii inasimamiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambayo ilianzishwa na sheria ya Bunge Na.11 ya mwaka 1995, mamlaka ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996.

CAPITAL GAIN TAX (KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI YA MTAJI) NI NINI?

Nianze kwa kufafanua neno gain.
Neno gain maana yake ni ongezeko(faida). Na maana hii imefafanuliwa katika Sura ya Tatu ya Sheria ya kodi ya Mapato (Section 3 of ITA, 2004) na maelezo ya ziada katika sura ya 36 ya Sheria ya Kodi ya Mapato. (Section 36 of ITA, 2004).

Mfano umenunua hisa kwa Milioni TZS 20 mwaka 2016 mwaka 2017 ukaamua kuziuza kwa milioni 30. Gain (pato la ziada la ongezeko la mtaji) itakuwa Milioni 30 toa milioni 20 ambapo utakuwa umepata pato la ziada milioni 10 (Ongezeko la thamani ya rasilimali mtaji). Labda na gharama wakati wa mauzo nilitumia Milioni 2. Nikitoa na hizi gharama yaani Milioni 10 toa Milioni 2 nabaki na Milioni 8.
Ni hiki kiasi cha ziada ulichopata (TZS Milioni 8) sheria inakutaka ugawane na nchi yako, utachangia nchi yako(kodi) kwa kuwapa serikali asilimia 10% au 20% kutegemeana kama wewe ni Resident au “non resident” kupitia mamlaka ya mapato TRA.

JE SHERIA YA MAPATO YA TANZANIA (THE INCOME TAX ACT, 2004) INAZUNGUMZAJE KUHUSU CAPITAL GAINS TAX?

Mheshimiwa Zitto, Sehemu hii ni pana kidogo. Sitaweza kuelezea sehemu zote lakini nikufahamishe kuwa kuna ezea sehemu muhimu Tatu ambazo msingi wa Capital gain tax upo. katika sheria yetu ya kodi ya mapato ya mwaka 2004. Sehemu hizo ni (Section 36 of the Income Tax Act, 2004), Uuzaji wa Biashara au ubadili wa umiliki wa Biashara (Change in underlying Ownership) Section 56 of the Income Tax Act, 2004 na Kodi ya kulipwa kwa mkupuo yaani awamu Moja (Single Instalment tax) iliyo chini ya Section 90 Of the Income Tax Act, 2004.

JE ACACIA ANGELIPA CAPITAL GAIN TAX KWA ASILIMIA 20?

Jibu ni kwamba ingetegemea shareholders wake ni tax resident wa Tanzania au la (Section 66 of The Income Tax Act, 2004 inazungumzia residence status ya watu mpaka makampuni). Kwa Acacia angelipa Capital Gain Tax kama mkaazi wa Kodi wa Tanzania kiasi ingekuwa 10% na kama si tax resident ni 20%. Lakini kwa Mujibu wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania Acacia ni tax resident wa Tanzania. Kwa kutumia maamuzi ya mahakama ya Rufaa ya Tanzania Acacia ni Tax resident, asilimia ingekuwa ni 10%.

JE KUNA UHALALI WA WEWE MHESHIMIWA ZITTO KUMSHUTUMU RAIS KWAMBA ALIKOSEA KUUSHIKILIA MCHANGA NA KUSABABISHA MAUZO YA KAMPUNI YA ACACIA YASIFANYIKE?

Jibu ni hapana kwasababu hakuna mahali panaonesha Kampuni ya Acacia ilikuwa imeshafikia hatua ya kununuliwa. Yalikuwa ni mazungumzo. Ni sawa na mchumba akataka kumchumbia dada yako na kwenu hajaja na mazungumzo yao wawili yakaishia huko huko walikokutana. Sidhani kama utamuita ni mchumba. Sote hatujui ni nini kingetoa mpaka mwisho katika mazungumzo ya hizo Kampuni Mbili. Na pia hujatutajia Kampuni gani ilitaka inunue Acacia.
Mheshimiwa Zitto Kabwe, Fahamu kuwa Kuna muda biashara (kampuni) inawezwa kuuzwa kwa hasara au kwa faida. Tunatambua faida (ongezeko la thamani ya mtaji) kwa kuchukua bei ya mauzo tunatoa gharama zote zinahusiana na hiyo kampuni inayouzwa. Kile kiasi cha juu ndicho kinacholipiwa Capital Gain Tax.
Mheshimiwa Zitto yamkini uliona bei tarajiwa ya kununuliwa kwa kampuni (price of acquiring the Company) ila hukujua thamani ya mwanzo ya kampuni na gharama zake ambazo zilitakiwa zitolewe kwenye mauzo ipatikane ongezeko la thamani ya mtaji ambayo ingelipiwa Capital Gain Tax au hasara.
Ushauri, usizungumze Masuala ya kitaalamu bila kujua au kuomba wataalamu. Kuwa Kiongozi wa Chama kinachokimbiwa na wanachama kila kukicha yaani ACT WAZALENDO haimaanishi unajua kila kitu, hata mimi sijui kila kitu.

MHESHIMIWA ZITTO KABWE JE WEWE NI MUONGO?

Jibu ni ndiyo ni Muongo 100% kwasababu chache zifuatazo;
Moja Mheshimiwa Zitto Kabwe, Umedanganya kuwa serikali ya Rais Magufuli ilikosa Kodi (Capital Gain Tax-CGT) kiasi cha TZS 1.8 Trillion. Huu ni uongo kwasababu Kampuni haikunuliwa na hicho kiasi Ulikokotoa kimakosa. Hata kama kampuni ingenunuliwa Capital Gain Tax isingekuwa Kiasi hicho.
Pili, Mheshimiwa Zitto Kabwe umesema Kodi ni asilimia 20%. Hii asilimia ni ya Non-Tax Residents lakini kwa Mujibu wa Mahakam ya rufaa ya Tanzania Acacia ni resident wa Tanzania. Asilimia ingekuwa ni 10%.
Tatu, Mheshimiwa Zitto Kabwe hufahamu kuwa Capita Gain Tax hukokotolewa kwa kuchukua Bei ya Mauzo ya rasilimali mtaji za Kampuni unatoa thamani ya Rasilimali Mtaji ya awali ya Kampuni na gharama zake (excess of market value over the cost of investment asset reduced by sum of expenditure incurred in acquiring the asset) , halafu kinachobaki ndicho unalipia Kodi. Kwahiyo hata kama kungekuwa na Capital Gain isingekuwa kiasi cha TZS trillion 1.8 unazodai.

JE KATI YA WEWE NA MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI NANI ANA PAPARA?

Jibu ni wewe Mheshimiwa Zitto Kabwe, hukufanya utafiti kuhusu kodi ukakurupuka tu. Kujua Kuzidisha tu hesabu imekuwa Nongwa kubwa. Ulichukua 4.4bn USD mara 20% ukapata USD 880Mil, ukajua ndio Kodi. Kodi ni sheria tena inayohitaji uwe na ufahamu. Si kuzidisha tu namba.
USHAURI WANGU KWAKO MHESHIMIWA ZITTO ZUBERI KABWE.

Ninakushauri Mheshimiwa Zitto Kabwe ukajiunge na chuo cha Kodi Pale ATA ili ajifunze kodi na kuacha kudanganya Umma maana wewe kiongozi na kioo cha Jamii.

ILANI
Maoni haya ni yangu binafsi kama mtazania.
Huu shule ni ulioenda shule kweli cha kusikitisha kunamanyumbu ambayo hayana hata elimu kuhusu haya mambo yatakuja kutukana hapa
 
Back
Top Bottom