Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,800
- 165,546
Alafu anatumia nguvu kubwa kutaka aonekane mzalendo huku akilaumu wasaidizi wake kumbe baadhi ya mambo yeye ndio chanzo.serikali ya wanyonge !
sema kwa sasa mkuu 75% ya wananchi wamemstukiaAlafu anatumia nguvu kubwa kutaka aonekane mzalendo huku akilaumu wasaidizi wake kumbe baadhi ya mambo yeye ndio chanzo.
Majinga hayaelewi na wala hayafuatilii kazi kushangilia tu na kusifu ujingaujinga!
fafanua .Hata malaya hawezi kuhangaika hivi.
Mnataka kudanganya umma sasa anawsumbua ni lazima mumchukie.Hata malaya hawezi kuhangaika hivi.
kwahyo unataka kusema kuwa zito anadanga kwa fujo sana?.Je tuhuma anazotea zinaukweli au la?Hata malaya hawezi kuhangaika hivi.
Sijaelewa, yani barabara ziwe nzri afu mahindi yashuke bei kwa mkulima?Mambo mengi yanachangia kushuka kwa bei ya mahindi hata barabara zikuwa nzuri inachangia!
Miundo mbinu ya usafirishaji ni miongni mwa yanayochangia kupanda au kushuka kwa bei!Sijaelewa, yani barabara ziwe nzri afu mahindi yashuke bei kwa mkulima?
Zitto ni mshirikina hadi anapoteza kumbukumbu amesahau kuwa yeye alitangaza baa la njaa....hahahaha na serikali ilichukua hatua ya kuuza mahindi nje na kama inge ruhusu kama kawa kabla ya kuangalia uzalishaji hakika bei ya unga ingekuwa haishikiki kabisa...