Zitto Kabwe: Nikiwa Rais, Watanzania watachapa kazi lakini kula bata pia

Yaaani magu asimame na zito na uchaguzi uwe huru kabisa anachapwa mapema sana na yy hilo analijua #kaziNabata
 
ninashangaaa kabisa unap
Japan and Germany was totally in ash after ww2. Wabongo hatufanyi kazi ipasavyo tunakula sana bata. Hiyo bata anayotaka ni ipi?
osema watz hatuchapi kazi, hebu mfikirie mkulima maskini wa TZ analima kwa jembe la mkono anahamisha matani ya udongo kutoka hapa kwenda pale ili apande mazao yakafurike kariakoo watu wale na hawalali njaa tena bei poa. leo unawatukana hawafanyi kazi, MUNGU wangu!!!!!, ni jukumu la nani kuhakikisha wakulima hawa wanaovuja jasho namna hiyo wazalishe kwa tija?. unapotoa mifano ya JAPAN na GERMANY, watu walifanya kazi na serikali zao ziliwawekea mazingira mazuri ya kuchapa kazi lakini kula bata baada ya kazi. Huna habari JAPAN inahamasisha vijana wake waende kwenye fukwe za starehe mwisho mwa juma wakale bata?!?, kuna tamasha linafanyika GERMANY la kula pombe tu, pia wana matamasha ya kuhusu utamaduni wetu huku na TZ ikiwemo. watu wanachapa kazi lakini WANAKULA BATA PIA.
 
Kwa hiyo mahindi kuozea shambani kwa kukosa wateja ndio kipimo cha kufanya kazi?. Kuna mtu hajafanya kazi yake hapo. Halafu kazi nyingi ni za nguvu sio akili. Hatufanyi kazi watu watimize wajibu wao ili wanaoumiza miili yao wapate faida.
 
very good bosi waambieni wa kule juu ndio wavivu watimize wajibu wao huku chini acha kabisa watu wanapiga kazi. nikupe mfano wa migodini, kama watz wangekuwa wavivu basi migodi ingelalamika wakaajiri watu kutoka huko kwa wachapa kazi, lakini ni 95% ya waajiriwa migodi ni watz, msijumuishe kihivyo mnatukwaza.
 
Ulijua kazinabata ni kwa wakulima wa nangurukuru. Ni wale walipwao kwa kodi za wananchi ndio wenye jukumu la kupeleka nchi mbele kwa kutekeleza na kuibua mikakati.
 
duuh! sikujua bosi kumbe nilidandia treni ya SGR kwa mbele!!!.
 
Back
Top Bottom