Zitto Kabwe: Ni muda muafaka sasa Baraza la Mawaziri kuitumia ibara ya 37(2) ya Katiba

View attachment 874355View attachment 874356

Zitto kaona kitu gani ambacho hakiendi sawa hadi akatoa ushauri wa aina hii, hebu tusaidiane kulijua hilo janga linalotunyemelea.
Nafikiri yeye Zito ndio anahitajika kupimwa akili. Hivi unawategemeaje mawaziri wa ccm wamshughulikie bosi wao? Yaani zitto anaiponda ccm ila bado anadhani hiyo hiyo ccm itamsaidia kumtoa rais. Ni akili za kijinga sana hizi.
Vinginevyo tukubali zitto kaishiwa hoja sasa anatapatapa.
 
Tanzania itatuchukua muda sana kupata maendeleo endelevu

Watoto waliozaliwa Baada ya Nyerere ndio wanazungumzia 'kupata maendeleo'
Sie tuliokuwepo kitambo Na tunajua definition ya Maendeleo tunajua Maendeleo Ni Safari Na hakuna Hata Taifa Moja limefika Mwisho wa hiyo Safari Na Sie hatujafikia Mwisho wa hiyo Safari Ila tumepiga hatua Alhamdulillah

Kutoka kushangaa Mwanafunzi anaekwenda Shule kavaa viatu mpaka Leo tunashangaa aseivaa viatu ,

tulikuwa tunashangaa Mtu Mwenye simu ya Mkononi mpaka Leo tunamshamgaa asie Na Simu ya Mkonon
kutoka kushangaa anaefaulu Darasa la Saba mpaka Leo tunashangaa anaefeli,

kutoka kumshangaa anaemkosoa Rais mpaka Leo tunamshamgaa asiemkosoa Rais
Maendeleo yapo Sana Sana unless otherwise umezaliwa hivi karibuni
 
Nafikiri yeye Zito ndio anahitajika kupimwa akili. Hivi unawategemeaje mawaziri wa ccm wamshughulikie bosi wao? Yaani zitto anaiponda ccm ila bado anadhani hiyo hiyo ccm itamsaidia kumtoa rais. Ni akili za kijinga sana hizi.
Vinginevyo tukubali zitto kaishiwa hoja sasa anatapatapa.
Ha! Ha! Ha! pori limepigwa kiberiti vicheche wote nje kudadeki !
 
Watoto waliozaliwa Baada ya Nyerere ndio wanazungumzia 'kupata maendeleo'
Sie tuliokuwepo kitambo Na tunajua definition ya Maendeleo tunajua Maendeleo Ni Safari Na hakuna Hata Taifa Moja limefika Mwisho wa hiyo Safari Na Sie hatujafikia Mwisho wa hiyo Safari Ila tungepiga hatua Alhamdulillah

Kutoka kushangaa Mwanafunzi anaekwenda Shule kavaa viatu mpaka Leo tunashangaa aseivaa viatu , tulikuwa tunashangaa Mtu Mwenye simu ya Mkononi mpaka Leo tunamshamgaa asie Na Simu ya Mkonon kutoka kushangaa anaefaulu Darasa la Saba mpaka Leo tunashangaa anaefeli, kutoka kumshangaa anaemkosoa Rais mpaka Leo tunamshamgaa asiemkosoa Rais
Maendeleo yapo Sana Sana unless otherwise umezaliwa hivi karibuni
Upo sahihi mkuu, kizazi cha sasa kinafikiri nchi ilikuwa hivi na hakitaki kujua au wanajifanya hawajui historia ya nchi yetu. Wanachojua nina kujifananisha na nchi za magharibi hawatambui maendeleo ndo yanawafanya wajue magharibi kukoje, wakati enzi hizo hata kupata matangazo ya RTD (TBC TAIFA) ilikuwa taabu, na familia nyingi hazikuwa na hiyo radio ya mkulima, leo wanatamba na online radio, tv, social media halafu wanabana pua hakuna maaendele. Hovyo sana
 
View attachment 874355View attachment 874356

Zitto kaona kitu gani ambacho hakiendi sawa hadi akatoa ushauri wa aina hii, hebu tusaidiane kulijua hilo gharika linalotunyemelea.
Mie nadhani Zito ndio ana matatizo ya akili , hawezi kusema Rais ana matatizo ya akili wakati anatutendea makubwa watanzania tulio mchagua na kila aliloliahidi anatutekelezea .Zito kazi yake kubwabwaja tu . Hatutaki kumsikia mtu wa aina hii sie tunataka maendeleo na sio siasa. Mungu mbariki Magufuli.
 
Back
Top Bottom