Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,681
- 140,332
Muacheni zitto aendeshe chama chake kma anavyoona inafaa. ACT si Chadema. Unaweza kukuta lengo la ACT na kuanzishwa kwake ni tofauti kabisa na unachowaza weweView attachment 3400342
Nani anamkumbuka Stopa? Stopa The ryme maker, katika track moja alikuwa na uwezo wa kuchana style tatu peke yake. Usipokuwa makini utadhani ni watu watatu tofauti.
Sasa huyo ndio Zitto Kabwe, katika track moja ya Uchaguzi, yeye pekeyake amechana kama watu wawili tofauti. Verse ya kwanza analalamikia matukio mabaya kabisa ya uchaguzi, kisha anaawaambia wanachama "Kwa mwendo huu kuna haja ya kushiriki uchaguzi"
Kwenye verse ya mwisho anashangaa Wanaogomea uchaguzi.
ni kweli hata Vyama vingine vinaendesha siasa kwa namna yao ya kipekee...Hakuna muunganiko hapo ndo maana "No reforms no election" wanayo CHADEMA tu..hapo unakuja kuona CCM itatawala na kutawala.Muacheni zitto aendeshe chama chake kma anavyoona inafaa. ACT si Chadema. Unaweza kukuta lengo la ACT na kuanzishwa kwake ni tofauti kabisa na unachowaza wewe
Wananchi bado tumelala siku tukiamka hatutahitaji kuambiwani kweli hata Vyama vingine vinaendesha siasa kwa namna yao ya kipekee...Hakuna muunganiko hapo ndo maana "No reforms no election" wanayo CHADEMA tu..hapo unakuja kuona CCM itatawala na kutawala.
wananchi wataamka vip wakati wanaoneshwa tulikotoka na tulipo sasa kimaendeleo.?Mfano Tanzania ya 1990 sio Tanzania ya leo kimaendeleo kuna utofauti..Wananchi bado tumelala siku tukiamka hatutahitaji kuambiwa
Kama ndio definition yako ya maendeleo sawa.wananchi wataamka vip wakati wanaoneshwa tulikotoka na tulipo sasa kimaendeleo.?Mfano Tanzania ya 1990 sio Tanzania ya leo kimaendeleo kuna utofauti..
Zitto na Mbowe ni wanasiasa ambao wanafanya biashara kubwa yaani wanacheza timu mbili double Agent.
Kwahiyo JPM aligundua hilo akawapiga pini wote.
Kwahiyo kwa sasa lazima waendelee walipoishia
Huyu mkongomani ni kama sigara nyotaView attachment 3400342
Nani anamkumbuka Stopa? Stopa The ryme maker, katika track moja alikuwa na uwezo wa kuchana style tatu peke yake. Usipokuwa makini utadhani ni watu watatu tofauti.
Sasa huyo ndio Zitto Kabwe, katika track moja ya Uchaguzi, yeye pekeyake amechana kama watu wawili tofauti. Verse ya kwanza analalamikia matukio mabaya kabisa ya uchaguzi, kisha anaawaambia wanachama "Kwa mwendo huu kuna haja ya kushiriki uchaguzi"
Kwenye verse ya mwisho anashangaa Wanaogomea uchaguzi.
Dalali katika ubora wakeView attachment 3400342