barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,865
Msikilize hapa Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe akieleza kuwa ndani ya siku tano ndege hazitatua hapa nchini kwa sababu ya upungufu wa mafuta. hata hivyo akihitimisha michango katika bajeti yake, Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo amelieleza Bunge kuwa, mafuta yapo ya kutosha hadi mwezi Julai, Pia meli nyingine ya mafuta itaingia June 13, 2016,