Zitto Kabwe mbivu na mbich hizi hapa

Zitto Kabwe mbivu na mbich hizi hapa

GOTILANGU

Senior Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
182
Reaction score
46
We ni mbunge aliepitia siasa za aina nyingi sana ila sasa wakati wakujua mbichi au mbivu kuhusu wewe siku nyingi umekuwa ukisemwa wewe ni mula rushwa, mtu mwenye tamaa, msaliti na jasiri mpaka ilifikia chama chako kutaka kukufukuza, ila ahsante mahakama ilikusimamia na kukupa haki yako. Kwa madai hao ukiwambia watu walete objectivity evidence imebakiwa za kuhisi na ufananisho wake kuonywsha ushiriki wako.

Wewe ndie mwenyekiti PAC na hapa pesa zetu zimeibiwa hapa tutajua wewe ni mbunge wa aina gani maana watu wanatoa mifano ya pressure nyingi ulizozisimamia kidete mwisho zilivyokuwa mfano ulitumia ujanja wako na ujuaji wa mambo majina ya Uswisi yaliisha bila kututajia majina na Buzwagi iliisha kimya.

Zitto nakukumbusha kuwa usithubutu kwenda tofauti na matarajio ya watanzania umesema tutapambana na facts hizo facts ndio tunazozisubiri maana usije fikiri kuwa wewe unajua kuliko Mkono japo ni swahiba yako base only on the truth we shall respect you advancly ila kama ukienda kinyume na facts watanzania tutaamka usingizini hili jambo lilipofika ni facts peke yake itaaamua usahihi wake wache wachume mbivu zao.

Nakuombea kwa mungu akulinde akupe ujasiri na akupe tumaini la wengi na si tumaini la nafsi yako tu. Deo filikujombe upo pembeni tutajua na wewe ni mtu wa aina gani katika hili suala la Escrow tegeta ila pia mungu nawe akupe nguvu na akuepushe na waovu pia ila jueni kesho tutawajua nyie ni watu wa aina gani kumbukeni watanzania hawatakubali ujinga na poleni kwa vitisho na kazi yenye risks kubwa sana
 
Bado nazitafuta mbivu na mbichi sijaziona

Hutaziona maana kabla hazijaiva zimeshaliwa na genge la Chenge mtunzi wa Katiba mpya, sana sana utaona maganda tu kama tunavyoona wengi! Haya maganda kesho ndo yanajadiliwa bungeni!
 
Bado nazitafuta mbivu na mbichi sijaziona

mbivu ni kuwa tutajua kuwa yale yanayosema juu yako katika negative yanausahihi sana na yanareflect tabia yako pale facts zitakapotawala ila ukipiga pia tutajua mbichi zako kuwa we ni mpigaji na sio mwanasiasa umetumia siasa kama mtaji wa maisha binafsi ya kwako
 
Ni onyo zuri kwa wakati muafaka, his last card!!!!!

Nina thamini mchango wake alioutoa tangu nilipoanza kumjua akiwa Chuo sinaga tabia ya kukosa shukrani. Pamoja na kuomba kila liwezekanalo ili awasilishe repoti kwa uadilifu bika woga au kumuonea mtu bado sintosahau mchango wake kwa taifa hili.
 
Back
Top Bottom