Zitto Kabwe: Kutoka kuni hadi moto

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,136
17,871
Zitto Z. Kabwe ni mwanasiasa kijana aliyeibuka mwanzoni mwa miaka ya 2000. Akitokea mkoa wa Kigoma,Zitto alipata sifa za haraka na baraka kwa hoja zake,tafiti zake,uongeaji wake na hata kujiamini kwake kwa kutazama umri wake na ugeni wake siasani.

Zitto,haraka sana,akawa mmoja wa wanasiasa tegemezi na machachari wa upinzani. Akawa ni moja ya targets za kisiasa hasa kwa chama tawala. Chama chetu CCM. Itoshe kusema kuwa,ilifika wakati Zitto aliiva na chama tawala na 'kuchukiwa' na wapinzani wenzake. Alikuwa kuni muhimu.

WanaCCM walimsifu;walimtetea na hata kumsemea alipokuwa akikosoa au kukosolewa na wapinzani wenzake. Zitto,kutokana na kusifiwa,kutetewa na kusemewa huko alitumika,akijua au bila kujua,kuchochea migogoro kwenye kambi ya wapinzani. Hata alipotimuliwa CHADEMA,Zitto alisifiwa na kusikitikiwa. 'Alipojiunga' ACT,Zitto alitiwa moyo,kusifiwa na kupewa airtime. Na wanaCCM walewale.

Sasa,Zitto anajichora na kujipambanua kama mkosoaji wa Serikali ya CCM. Haraka kama ilivyokuwa mwanzo,ingawa sasa ni tofauti,wanaCCM wanamwita mkaidi,mchochezi,mropokaji na aliyekosa dira. WanaCCM walewale.

Zitto sasa amefikia kusakwa na kuhojiwa. Anakaribia kufikishwa mahakamani. Hakika,Zitto ametoka kuwa kuni ya kuchochea na kuwa moto wa kuunguza. Ama kweli,kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu. Kikubwa ni maslahi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mwanza)
 
Hii ndio vita anayopaswa kupigana .Vita ya dhati.Hakuna unafiki.Naungana nae.Udikteta sio zama zake.
 
Ancheza na JPM,ajipange vizuri,akachezee wajinga wenzake
 
Mzee Tupatupa hivi ni kweli mafisadi yenu huko na yule mwenyekiti wenu dhaifu wa zama hizi wana mpango wa kumnyima Ngosha hicho chama??
 
Back
Top Bottom