Zitto Kabwe: Kuna kachama kana mdomo mdomo maana K/njaro wana maendeleo. Hamkuchagua mbunge zwazwa

Rais akimpa uwaziri huo Zitto, litakuwa kosa kubwa kabisa la kiufundi kuwahi kulifanya katika shughuli zake za kuongoza nchi mpaka wakati huo. Nadhani, atatumia 'macho yake matano' kumuweka mtu anayefaa nafasi hiyo.
Ashakwambia kuwa yeye ndiye alpha na omega

In God we trust
 
Kumbe ndiyo chuki zenu kwa wachaga zinapotokea.
Nyie endeleeni kupiga mdomo na kutafuta kazi serikali ni ili muibe mjaze tumbo zenu huku kichwani mkiwa 0 brain
Hawa majamaa wabaya sana kwa ukabira

In God we trust
 
  • Thanks
Reactions: 999
Huyo ni Lipumba.
Kilichopo ni kubagua watu kikanda, kikabila na baadae naona udini ukiingia kwa kasi ya ajabu
Mwl Jk Nyerere alishasema kuwa ukiona mtu anashindwa kutetea hoja na kuingiza ukabila na udini ujue huyo amefirisika kisiasa

In God we trust
 
  • Thanks
Reactions: 999
Zitto anawachukia wachaga with passion
Ila bila wao asiingewahi kuwa chochote bila wachaga
Kasoma kibohehe na Siasa kafundishwa na Mbowe

Aendeleze chuki tuone zitamfikisha wapi.. Siasa hazinaga umilele
Tangu alipotimuliwa CDM ameshuka umaarufu.
 
Zitto kabwe ni mfano wa Mtu anayekwambia umalaya haufai alafu unamkuta pale sinza mida ya saa nne amezungukwa na madada poa, zitto ameisha anatafuta favour tu sasa hivi akipata atageuka MREMA

Sent from my Blackberry DTEK70 using JamiiForums mobile app
Umesema kweli mkuu anarangi sawa na kinyonga

In God we trust
 
Zitto anawachukia wachaga with passion
Ila bila wao asiingewahi kuwa chochote bila wachaga
Kasoma kibohehe na Siasa kafundishwa na Mbowe

Aendeleze chuki tuone zitamfikisha wapi.. Siasa hazinaga umilele
Alisomeshwa na wachaga au juhudi zake darasani? Mbowe hana uwezo wa kumfundisha Zitto siasa. Sema Mbowe alikuwa mwenyekiti wa Zitto wakati yupo chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kinachohitajika ni maendeleo na sio kutafuta kiki ya kutukana Serikali
 
Ukitaka kulinganisha maeneo mengine na Kilimanjaro jiulize kwanza mna shule ngapi za msingi na sekondari ndipo muanze hizo sarakasi za maendeleo! Mna shule moja ya sekondari inahudumia vijiji kumi kisha mnashindana na wenye zaidi ya sekondari mbili kila kata!
Tanzania bila UBUBUSA inawezekana
Wataendelea kubwabwaja na kudanganywa kwa pipi tu yaani kigoma haitakaa ijilinganishe na kilimanjaro

In God we trust
 
Mkuu hata wao wa chama cha wahuni na mafisadi wanamuogopa huyu mnafiki na msaliti, lakini kwa sasa wameamua kumtumia ili kujaribu kupunguza makali ya za uso anazorusha Lissu the Great kuhusu huyu dikteta uchwara. Huyo msaliti anatumika kkujaribu kuonyesha kwamba huyo fisadi si dikteta uchwara.

NI CCM wanaoweza kumwelewa zito kwakuwa akili zao zinafanana
 
Back
Top Bottom