Zitto Kabwe: Kuna kachama kana mdomo mdomo maana K/njaro wana maendeleo. Hamkuchagua mbunge zwazwa

Kijana anaendelea kupiga kazi jimboni kwake kwa kufuata sheria. Ukimsikiza vyema utajua Zitto ana nia njema na wapiga kura wake.

Halmashauri ina nia ya kuunda timu ya Kigoma ili ishiriki ligi kuu. Hivyo wameshapata msaada wa kujengewa viwanja vya mpira.

Kujenga jengo kwa ajili ya wafanyabiashara.

Anataka watu wasimkwamishe kwa matakwa yao ya muda mfupi au kisiasa. Wakati wa ujenzi kuna watu watakosa biashara, lakini mnivumilie ili mradi ukamilike.

Ili kukamilisha mradi lazima nimuombe waziri. Kuna waziri wa ACT? Lazima nishirikiane na serikali ya CCM ili itimize wajibu wao.

Kuna kachama fulani kana mdomo mdomo, kanasema kushirikiana na CCM ni usaliti. Sisi tunataka maendeleo/demokrasia.

Ukienda mkoa wa Kilimanjaro wana barabara mpaka vijijini ndani.

Kuna mwaka nilienda Kilimanjaro kuna mzee alisema kuna shule 50 za sekondari,lakini sisi Kigoma tulikuwa nayo moja tu.

Wale wenzetu wako mbali kimaendeleo...

Ninyi hamkuchagua mbunge zwazwa anayefuata mkumbo, mmechagua mbunge awaletee maendeleo. Wakati ukifika nikashindwa nitawaeleza kuwa jamani mimi nimeshindwa chagueni mwingine.

Jamani sisi tunataka maendeleo, na ili tupate maendeleo lazima tushirikiane kwenye miradi ambayo nimewaeleza.

Endeleeni kufuatilia video...
 
Hakuna lolote analolifanya mbona aliwatosa wapiga kura wake kule mwandiga bila kuwajengea choo cha sokoni?awadanganye wasiyo ijua kigoma

In God we trust
 
Kijana anaendelea kupiga kazi jimboni kwake kwa kufuata sheria. Ukimsikiza vyema utajua Zitto ana nia njema na wapiga kura wake.

Halmashauri ina nia ya kuunda timu ya Kigoma ili ishiriki ligi kuu. Hivyo wameshapata msaada wa kujengewa viwanja vya mpira.

Kujenga jengo kwa ajili ya wafanyabiashara.

Anataka watu wasimkwamishe kwa matakwa yao ya muda mfupi au kisiasa. Wakati wa ujenzi kuna watu watakosa biashara, lakini mnivumilie ili mradi ukamilike.

Ili kukamilisha mradi lazima nimuombe waziri. Kuna waziri wa ACT? Lazima nishirikiane na serikali ya CCM ili itimize wajibu wao.

Kuna kachama fulani kana mdomo mdomo, kanasema kushirikiana na CCM ni usaliti. Sisi tunataka maendeleo/demokrasia.

Ukienda mkoa wa Kilimanjaro wana barabara mpaka vijijini ndani.

Kuna mwaka nilienda Kilimanjaro kuna mzee alisema kuna shule 50 za sekondari,lakini sisi Kigoma tulikuwa nayo moja tu.

Wale wenzetu wako mbali kimaendeleo...

Ninyi hamkuchagua mbunge zwazwa anayefuata mkumbo, mmechagua mbunge awaletee maendeleo. Wakati ukifika nikashindwa nitawaeleza kuwa jamani mimi nimeshindwa chagueni mwingine.

Jamani sisi tunataka maendeleo, na ili tupate maendeleo lazima tushirikiane kwenye miradi ambayo nimewaeleza.

Endeleeni kufuatilia video...

Zzk aliwahi kukiri bila Mbowe aaingekuwepo alipo.Akatoa sifa zote leo nashangaa kikubwa tuweke akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom