Zitto Kabwe kukutana na Waandishi wa Habari tarehe 24 Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Siku za mwizi arobaini! Wasaliti wate hawatakuwa Na pa kujificha.
Bahati nzuri watanzania wengi wameanza kujitambua wanaelewa ukweli Na uwongo hawafuati propaganda
 
Tutahakikisha chadema inakufa zaidi ya nccr. Baada ya uchaguzi wabunge wenu watakuwa wa kaskazini tu.
 
Hakuna kipya zaidi ya kutoa shutuma kibao zisizo na ukweli.

Zitto, japo sijui utakalozungumza hiyo kesho jumapili ili watu waamke nayo jumatatu magazetini, naomba nikuwahi mapemaaa kwa swali hili;

Mbona hukuwahi kuyasema haya yote wakati hali ikiwa 'shwari' ndani ya chama? Je, nikisema ni unafiki utakataa!?




Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kuna mambo mawili hapa
  1. tusimsemee zzk atayasema kesho.
  2. ni kweli ofisi ya mbunge kigoma kaskazini ipo dsm kwenye ofisi ndogo ya bunge dsm kila mbunge ana ofisi (au zaidi ya mmoja) ana ofisi pale;
 

Unakimbia kivuri chako mwenyewe (sorry kama wewe si mhusika)
 
Tuachane na fikra za MUASISI WA CHAMA, BABA MKWE ndipo tujenge umoja wa kitaifa
 
acha mboga imwagwe.
 
Kila la heri , kuna mawili kujiteketeza au kujiokoa , Tukumbuke kwamba hata mwigamba naye aliitisha press conference kama hivi , lakini imemsaidia nini ?
 
CHAGGA DECISION MAKING organ kesho inawekwa uchi! Kutokana na tabia yake ya kufanya maamuzi yasiyo na tija yanayopendelea wachaga akina Lema
 
Tena kama kuna muda walipaswa kuwa watulivu ni sasa!!!Kwa Kidogo wanachoweza kujisahihisha nacho ni ni sasa TO CALM DOWN and let the wind flow in a natural way!!!.
Sometimes USOMI sio SIASA.nilishalalamika tabia ya wasomi kukimbia siAsa haya ndio matokeo.Vijana hawa ni kwangu mimi BINAFSI ni wasomi wazuri kabisa sina shaka nalo,lakini huku kwingine Am NOT SURE kama wako kwenye RIGHT WAY THEY HAVE NO TRUCK WITH!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…