The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,784
- 123,810
Haya hua ni mawazo ya kimasikini na ya mtu aliyekata tamaa,acha udini jadili hoja.Dini
Inaonekana wewe ndio mdini na ndio maana umewaza hivyo.Huyu ni kijana mdini sana. Sasa hivi hana cha kukosoa.
Naye kama Mr Slow.Anakula neema za mama. Zile kelele zote kipindi kile ni sababu alikuwa hajapewa mnofu na yeye.
Amekabidhiwa ka-mzinga kadogo anapakua taratibu na ma bi-wadogo zake kama kawaida.Yule mchumi wa maigizo anayejiita Zitto Kabwe kapotelea wapi siku hizi?
Wakati wa Magufuli, Bwana Zitto alikuwa na mstari wa mbele kumkosoa magu kwa mbwembwe na madoido huku kabebelea vipeperushi vya takwimu za kubumba.
Sijui kajificha wapi siku hizi. Sijamsikia akikosoa matozo.
Kajibanza anabugia buyu la asali kimya kimya.
Au kazamia nje ya nchi? Mbona hakosoi matozo ya samia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alhaj Mnafik Zitto Kabwe!
Ndio hivyo yaani.Aisee...
Mkuu umeumia mimi kuusema ukweli?Inaonekana wewe ndio mdini na ndio maana umewaza hivyo.