Zitto Kabwe katokomea wapi na vijarida vyake?

Achana kabisa na Waha, ni wanafiki wa kufa mtu. Zitto na mnafiki pia ni mwizi na kwa sasa keshajazwa mapesa na Chifu Hangaya katulia tuliiiii
 
Tozo ukikosoa wewe na mama yako inatosha. Na hata akikosoa utasema katumwa na mabeberu
 
Tupo nae hapa Bucha Ukraine..
Ushahidi nenda IG page yake utaona picha tuliyopiga na padri kanisani hapa kyiv
 
Huyu ni kijana mdini sana. Sasa hivi hana cha kukosoa.
 
Kwasasa sahihi akae kimya Mana Uhuru upo kilamtu anahaki hiyo zamani walijitolea kwaniaba yetu

Hatawewe endelea kukosoa chukulia zito kabwe hayupo duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…