iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Kimsimgi tamko la Zitto katika mkutano wake wa ACT lilikuwa zito kama jina lake,alidhihirisha kipaji na uwezo mkubwa.
Nafikiri matamko haya yangekuwa na muendelezo angalau kila mwezi au siku kumi na tano,upande wa UKAWA wamepwaya. Ni vizuri ACT ikapenya hapo hapo na kujijenga haswa,naona UKAWA wamezubaa na wamepwaya sana,ni kama vile wana mkataba ns CCM unaowafanya wakae kimya,ni MKATABA gani? Wanaujua UKAWA wenyewe na njaa zao.