Zitto Kabwe awa gumzo Tabora, amfunika Lowassa

Maajabu kama sisimizi kawa mkubwa kuliko tembo.
 
Nakutakieni kila la kheri maadam UKAWA ndio chombo mlichokiamini endeleeni na kusubiri wakati muafaka! nasikia January kafunga kazi huko Ruvuma haijawahi tokea..
 
Nakutakieni kila la kheri maadam UKAWA ndio chombo mlichokiamini endeleeni na kusubiri wakati muafaka! nasikia January kafunga kazi huko Ruvuma haijawahi tokea..

..Inshaalah.

..Tutavuka kwa rehma za MWENYEZI MUNGU.

..nadhani January atawapa changamoto kubwa sana CCM na atafika mbali.

..January is a skilled campaigner na vitu anavyofanya hakuna mwana-CCM ana ujuzi navyo. yaani wanaona kama Hollywood vile kwa hiyo lazima wapagawe.
 
Nakutakieni kila la kheri maadam UKAWA ndio chombo mlichokiamini endeleeni na kusubiri wakati muafaka! nasikia January kafunga kazi huko Ruvuma haijawahi tokea..

Hivi wewe upo ACT (one man show) Hakuna zitto hakuna hamasa! au CCM? Maana yake wakati mwigine unatia aibu!
 
kesho azimio la tabora ukifatia na mkutano wa hazara tabora imesema yes nani wa kupinga?
zito ni mwana siasa ninaemkubali
 
Hivi wewe upo ACT (one man show) Hakuna zitto hakuna hamasa! au CCM? Maana yake wakati mwigine unatia aibu!
Alaa sasa ikiwa mmeshanipachika uanachama mnataka niseme nini? yaani nikatae mtasema, nikubali mtasema! wabongo bana!
 
Uongo mtupu, niko Tabora hapa, hakuna cha Zitto wala nini. In fact Zitto anafanya mkutano kesho, sasa ameifunikaje CCM? Naomba modes mwangalie waongo kama hawa humu JF.
 
Alaa sasa ikiwa mmeshanipachika uanachama mnataka niseme nini? yaani nikatae mtasema, nikubali mtasema! wabongo bana!

Huwa naona unamtetea sana Zitto na Kuipamba ACT. Kwa jinsi ninavyokufaham huko ni kujidhalilisha. Kwa hiyo wewe unaipenda ACTau unampenda Zitto? Siku hayupo (Mungu epushia mbali bado )
 
Tupo tabora kwamba Zzk kamfunika EL ni uongo.sijajua kamfunika kwa namna gani.maana zaidi ya kuona magari yenye bendera za ACT yakipita mtaani na kuona gari ikitangaza kuwa kesho yeye na viongozi wenzie wakuu watafanya mkutano.Hakuna cha zaidi
 
Huwa naona unamtetea sana Zitto na Kuipamba ACT. Kwa jinsi ninavyokufaham huko ni kujidhalilisha. Kwa hiyo wewe unaipenda ACTau unampenda Zitto? Siku hayupo (Mungu epushia mbali bado )
Kumpenda Zitto kwani yeye mwanamke? nimeshasema hapa kwamba maamuzi yalofanyika kumfukuza Zitto, Kitila na Mwigamba hayakuwa ya busara na viongozi wako wanajua msimamo wangu. Kuanzishwa kwa ACT kunatokana na makosa hayo na hivyo CDM kujiunga na UKAWA ama niseme CUF kupinga Mapinduzi ya Znz pamoja na Muungano wetu ni mambo yalonipeleka mbali zaidi na mrengo wa Chadema.

Mimi ni MJAMAA, muumini wa Umoja wa waafirka na Mapinduzi ya Zanzibar kuwa muhimu kutoka utawala wa Sultan na ACT inawakilisha mawazo yangu hivyo sina budi kuwatetea kila wanapojitangaza. Sitojali mule yumo Zitto au Mbowe maana mwanzo mlitwambia Chadema ni mrengo wa kati Kushoto, mara wakageuka na kuwa kati Kulia wapinzani wa Muungano!. Mkuu sifuati mtu yeyote ila naamini katika Ujamaa wetu (UMOJA wetu) kama ndio njia pekee ya kuwakomboa Watanzania - Umenipata?
 
Acha kupotosha watu tumeshuhudia mapokeo ya Lowasa amefunika
 
Kuna watu hawataki kusikia ukweli kuhusu zitto,hasa chadema,ila zitto ni zaidi ya umjuavyo,ni mwanasiasa makini na anayejiamini,tunaanza nziara kesho,mnyika tangulia kama kawaida yako

Mkuu vipi kuhusu azimio la tabora?
 
Hivi zoezi la viongozi wa Act kutangaza mali zao liliingia wapi? Ndio tutaweza kupima kama hilo azimio Lina maana ama ni ujinga tu......Mali za Mwigamba , Mtemelwa , Kitila, Msando , Mgwira ........

Aya sasa umeanza akikaa kimya taab akiamza shughuli tabu sasa niwaeleweje
 
Tupo tabora kwamba Zzk kamfunika EL ni uongo.sijajua kamfunika kwa namna gani.maana zaidi ya kuona magari yenye bendera za ACT yakipita mtaani na kuona gari ikitangaza kuwa kesho yeye na viongozi wenzie wakuu watafanya mkutano.Hakuna cha zaidi

Sasa situtegemea majibu tofauti na yako ,hata Farao alibisha sana kuhusu kuwepo kwa mungu mpaka mauti yalivyomfika ndio alisalim amri
 
Lazima wafurike si wanashangaa kwa kuwa wakati yuda anamsaliti yesu hawakuwepo wamesoma tu vitabuni sasa wanashangaa kusikia kuna msaliti anaitwa zzk hawaamini hadi wamuone ili wajue yukoje maana nae ataingia vitabuni kama msaliti baada ya yuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…