Mpigieni simu au mtumie msg facebook.
ukweli imekera watu wengi. Angalau viongozi wa wilaya ungeendelea na mkutano hata bila ya Mh kutofika. Hapa watu wengi wanaisubiri CHADEMA kwa hamu kubwa hasa baada ya Cuf kuyumba. Hii ilikua ngome ya Doyo aliyefukuzwa cuf, n umakini wa chadema ndo uta determine mavuno ya mamia ya wanachama wapyaShame, highly disorganized party.
ukweli imekera watu wengi. Angalau viongozi wa wilaya ungeendelea na mkutano hata bila ya Mh kutofika. Hapa watu wengi wanaisubiri CHADEMA kwa hamu kubwa hasa baada ya Cuf kuyumba. Hii ilikua ngome ya Doyo aliyefukuzwa cuf, n umakini wa chadema ndo uta determine mavuno ya mamia ya wanachama wapya
siasa imekuwa kama bongo fleva sasa......!
Lakini zito ni mtu makini sana waulizeni vizuri hao viongozi wa wilaya.
Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.
Stupidity,curiosity and terribly thoughts and comments from Tanzanian...Your among of the stupid person never ever seen,shame on you.
Kweli zito hakutokea lakini swala la viongozi wa wilaya kutotokea sidhani kama umeitendea haki chadema nivyema ukawa mkweli mana tarifa yako naya vyombo vya habari inapingana.
Ingekua CUF sijui pangesemwaje hapa!
Stupidity,curiosity and terribly thoughts and comments from Tanzanian...Your among of the stupid person never ever seen,shame on you.
Go to hell!Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.
Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.