Mwalimu hewa eti.. Na wanafunzi hewa.. Jumla kaokoe bil16 ..KAZI YAKE NI KUTUMBUA VIJIPU UCHUNGU.
Issue za IPTL ni mambo ya kisheria yana taratibu zake sio kuamua tu, after all kalikuta hajali litengeneza yeye.
Huyo mheshimiwa Kama mbunge anapaswa kupeleka hoja bungeni ijadiliwe then a good way of solving that issue inaweza patikana.Hizi lawama naona hazina na nafasi kabisaaa
"HAPA KAZI TU"
kwa hiyo tuache mambo yaendelee tu?ila angesema lema au mbowe ungefurahi?Huo mkataba zitto anadhani unavunjwa krahc kama kuhama chama?
Wakati mwingine tujikite kwenye hoja mkuu kama hamna la kuchangia unakaa kimywa, mbona Mwanakijiji hapo juu kachangia vizuri tu bila mhemuko
kwa bunge.lipi hilo? hilo bunge lililogeuka kibogoyo?
Bunge gani? Bunge lisilo kua na meno!Si Bunge lipo; wabadili Sheria au wachukue maamuzi ya kushughulikia matatizo yaliyoko kwenye Executive Branch. Ndio maana ya demokrasia. Na pia kama kuna kitu kinafanyika kinyume cha sheria kuna mahakama. Kumlaumu Magufuli kwa kitu ambacho hawezi kukitolea executive decision tu italeta mengine. Rais anaweza kutumia madaraka yake lakini fikiria hayo maneno mengine yatakayokuja.
Binafsi ningependa kusikia pendekezo la Rais anatakiwa kufanya nini na vipi kuzuia malipo haya. Inawezekana ikamsaidia Rais.
Hapana nadhan akna chenge wakae waone jinsi ya kureview hyo kitu.kwa hiyo tuache mambo yaendelee tu?ila angesema lema au mbowe ungefurahi?
Zitto sasa hivi ni kama debe tupu linalotika vibaya!
Jamani hesabu zimekosewa mbona hasara ni ndogo kila mwezi ni 8 bilion na miezi toka achaguliwe ni miezi 20 sasa 8 billio ×10 ni bilion 80 mbona mwasema 36 ni hesabu za vipi hizo
Hasara ni 80 bilion hadi sasa
HATA IWEJE DALILI ZA MSHIKAJI KUSHINDWA ZIKO WAZI NA HALI YA UCHUMI NI MBAYA.Issue za IPTL ni mambo ya kisheria yana taratibu zake sio kuamua tu, after all kalikuta hajali litengeneza yeye.
Huyo mheshimiwa Kama mbunge anapaswa kupeleka hoja bungeni ijadiliwe then a good way of solving that issue inaweza patikana.Hizi lawama naona hazina na nafasi kabisaaa
"HAPA KAZI TU"
Kama raisi aliekusudia kubana matumizi na hiyo hela inapotea na anaiona ndio kusababisha hasara mbona wenzake waliopita walikuwa wanafanya matumizi ya fedha kwenye sherehe zia kiserekali yeye kaona kumbe inawezekana kubana sherehe na fedha husika zikajengewe barabara sasa hizi za iptl zinamshinda nini 80 bilion si angalau watoto haws wanaosoma bure wangepata uji mwaka nzimaMbona una haraka,Kusema amelitia hasara Taifa kumbe Ni jambo lilikuwepo kabla yake si sahihi.Kutia hasara Ni kusababisha hasara Hio. Hili Ni jambo la kuliangalia kwa umakini mkubwa kabla ya kufikia Maamuzi.Huu mchezo hauhitaji hasira