Hongera sana Zitto Kabwe. Wakati Watanzania na wanaojiita CHADEMA wakiendelea kukuchafua, nyota yako inazidi kung'ara hasa nje ya mipaka ya Tanzania. Ipo siku kila watakukubali, watakuhitaji kuwanusuru, lakini itakuwa too late. Usikubali kukatishwa tamaa na wenye tamaa ya madaraka. Mungu Akubariki na kukuongoza sana katika nafasi hiyo