Muombe kwanza msamaha Zitto kama kweli wewe una busara! Mnatukana sana Zitto, halafu yeye yuko kimya. Pamoja na ukimya wake nyie kila kukicha ni kumchafua Zitto!
Halafu watu Wa Kigoma kila kukicha ni kuwashutum kubusu asili yao! Mbona hajadili asili zenu, vipi asili ya Watz wengine wa mipakani mikoa mingine mbona hamjadili?
Wewe ni mbaguzi! Leta hoja za kujenga kwa Watanzania, sio za kibaguzi. Unaanza kujadili asili ya mtu! Mwaga na wewe asili yako.