haiwezekani eti, umfananishe ZZK na BEN, katka mnyukano. hutendi haki, ndo maana baada ya ZZK kutoa kile alichosema juu ya vuguvugu hili, binafsi nilimshauri kaa kimya. tumia maneno ya mwl JK usijibu hoja za kipumbavu. utamfananishaje na mtu ambaye amesema hajawahi kumuona zaidi ya kuwasiliana kwa njia ya simu.hata yy BEN ktk maelezo yake hajajibu hilo. jiulize iwe kwa ZZK tu . TUHUMA zitoshe kumuwajibisha hata kama si za kweli. kuna nini? yaani yy awe zezeta ndani ya chama sababu ya REMOTE. kamanda ZZK usikubali na najua hutokubali na hujakubali na siku ukikubali Tanzania itajua mwisho umefika. MAPAMBANO HAYAENDELEI.
Mkuu upo sahihi. Tatizo akili za watanzania wengi ni Kama kuku, na malamnyingi imekua inawagharimu, Leo wako ivi baada ya siku kazaa wanageuka, mwishowe wanabaki kulalama bila sababu za msingi, hawa wote wanao mchefua zitto, 2005 alikua kila kitu kwao, Leo wamesahau, 2005 hawa hawa wenye akili fupi walimfagilia sana JK na kusema hapo ni penyewe Leo hii wanajuta. Msimamo hakuna na wala hawajui wanacho hitaji
Mtoto akililia kiwembe mpe! Baadae mtajua ukweliAcha kutuletea historia! kazi ya historia ni kutunza kumbukumbu lakini sasa tunazungumza ya leo! jibuni hoja za Ben acheni kumtetea kipuuzi Prezzo!Kwanza hamumsaidii zaidi ya kuongeza chuki!
We juha acha kutuona vichwa maji! Ben kaweka hapa mawasiliano yake na Zitto tena mara kibao mbona Zitto hajakana?
Daima ukisimama upande wa giza huwezi kushinda mwanga!
Muasi mkuu amepigwa wengine mnahangaika bure na hamchomoki safari hii!
Mtoto akililia kiwembe mpe! Baadae mtajua ukweli
sishangai lugha ulioanza nayo, yawezekana unakujenga zaidi. nacho hicho ni kipaji wachache wanaojaliwa nacho toka kwa huyo anayevigawa vipaji vya aina hiyo. KUMBUKA NA ZINGATIA ; ZZK, amesema hajawahi kukutana na BEN zaidi ya kufahamiana kupitia simu. ambazo hata ww umeziona sms hizo. maana ya kukutana ana kwa ana nadhani inafahamika. naamini CDM ni waungwana na Mungu kawabarikia uungwana.
nashukuru umenielewa na umejitahidi kuuzaliwa upya ,jenga chama chako kwa hoja za kiungwana ,matusi vitisho, kebehi naamini havitowasiadia zaidi ya kuonyesha rangi zenu zote na kuharibu chama chenu. inaeleweka mtu mzima anapoeleza kuwa nimewasiliana na mtu fulani kama mara mbili hivi.maana yake yaweza kuwa 3,4,5,6 yaani chache ambazo hazionyeshi ukaribu kihivyooo.Angalia mnavyozidi kuumbuka, kwa kuongezea Zitto alisema wamewasiliana na Ben kama mara 2 au tatu kwa simu lakini ushahidi uliowekwa na Ben ni mawasiliano mengi tu tena wanaonekana wanafahamiana!
Hii haiwasaidii zaidi ya kutubu na mrudi kundini kuelekea ukombozi wa pili wa Tz!