commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
HAKUNA CHA USHAHIDI HAPA SIO MAHAKAMANI.Yeye mwenyewe alikwishatamka kuwa amekwishakumuandalia nafasi Edward Lowasa akifukuzwa ccm au akienguliwa kugombea urais kupitia ccm basi batagombea kupitia kwake ACT wasaliti,ebu jaribu kufuatilia ziara hizi.Weka ushahidi wa unachokisema, tunachojua yeye alisema/alitia nia ya kugombea ubunge Kigoma Mjini. Hakuna mahala wala maandishi yanayoonesha kuwa ameteua/ameweka watu wake kugombea nafasi mbalimbali uchaguzi mkuu ujao.
Nimesharekebisha typing error ni jimbo la Mbogwe mkoani shinyanga jadili hoja mkuu.Bavicha woote ni wendawazimu
Zomea ya Bukoba iliandaliwa na nani?pitia upya sababu za Msaliti kuzomewa
HAKUNA CHA USHAHIDI HAPA SIO MAHAKAMANI.Yeye mwenyewe alikwishatamka kuwa amekwishakumuandalia nafasi Edward Lowasa akifukuzwa ccm au akienguliwa kugombea urais kupitia ccm basi batagombea kupitia kwake ACT wasaliti,ebu jaribu kufuatilia ziara hizi.
Kinana alikuwa bukoba,zito akawa Tabora,na hii ni baada ya Lowasa kuondoka Tabora,kinana akaondoka Bukoba zitto akaingia bukoba,na kinana alikuwa ameingia bukoba baada ya Lowasa kuondoka pale.
zitto aliweka kambi kigoma mpaka Lowasa na serukamba walipomaliza kazi maalum na kuondoka na ndipo zitto ameanza ziara akimfuata taratibu Lowasa ambapo pia kinana na zitto ni kama wana ajenda ya siri dhidi ya UKAWA.
shame on all of people like ZZK:croc:
kati ya cdm na Zitto ni nani anamfuatafuata mwingine,nyie waganga njaa wa ACT kila kukicha humu JF ni kama vile hamlipwi bila kuisema CDM,sasa kama ni mikutano ya iskarioti ZZK haiwezi kumnogea bila kuisema CDM na makamanda wake.:madgrin::A S-rap:Mkuu hujui kuwa Zitto ni mwiba kwa CHADEMA ndio maana bado wanamfuata fuata?
zitto ni mzito kama gunia la misumari
bavicha naona mda wote wapo nyuma ya zito mtakufa kabla ya siku zenu
Malata Junior
Zitto kaishamalizana na Chadema lakini cha kushangaza Chadema bado wanaofuata mpaka ACT - Wazalendo.
Toka lini wafuasi wa Chadema wakawa washauri wa ACT - Wazalendo.
Mkuu ungeaanza kwanza na Mbowe amekuwa kama mfalme anajiongezea muda tu na kuchakachua kipengere cha katiba ya chama hamna ukomo wa uongozi sana Mbowe anaendelea kwa Mwenyekiti wa Chadema mpaka achoke mwenyewe.
Badala ya kupambana na hili unapambana na Zitto ambaye hayupo Chadema.

Huyu Bavicha kaokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF anajua kabisa wapo pro-Chadema watakubaliana naye bila kuhoji hali muradi katajwa Zitto.
Zitto kijana Wa ccm anayefagiliwa na watu Wa ccm yuko kazini kufurahisha WANa ccm well done Zitto
Malata Junior
Zitto kaishamalizana na Chadema lakini cha kushangaza Chadema bado wanaofuata mpaka ACT - Wazalendo.
Toka lini wafuasi wa Chadema wakawa washauri wa ACT - Wazalendo.
Mkuu ungeaanza kwanza na Mbowe amekuwa kama mfalme anajiongezea muda tu na kuchakachua kipengere cha katiba ya chama hamna ukomo wa uongozi sana Mbowe anaendelea kwa Mwenyekiti wa Chadema mpaka achoke mwenyewe.
Badala ya kupambana na hili unapambana na Zitto ambaye hayupo Chadema.
Duhhhh...Punguani tena...haya Ahsante
Pole zitto
Malata Junior
Masikini umekuwa mateka wa Mbowe mpaka umempa na jimbo...Ahahaha.
Eti Zitto kapitisha wagombea kwenye jimbo la Kahama na jimbo la Mbowe.
Bavicha bana.