Zitto hiyo si demokrasia

Mkuu vipi Mbowe amekuwa supreme leader pamoja na mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa hawa wote marufuku kuwapinga ukijaribu tu kuwapiga utajuta utafukuzwa kama paka.
Slaa amegombea urais mara ngapi?
 
Kwani kumwanika kwamba ameshindwa kusimamia kauli yake ni kumfuatilia/kuishauri act?
Naona umeingia kichwa kichwa kwenye mada mleta mada anakuambia kuna jimbo la Mbowe Zitto kaenda kuweka mgombea wake.

Huko ndiyo kuanika?

Wewe kweli unaamini Tanzania kuna jimbo la uchaguzi linaitwa Mbowe?
 
Slaa amegombea urais mara ngapi?
Mara ya pili na mara zote ndani ya Chadema yupo peke yake ni marufuku yeyote kuonyesha nia ya kutaka kuwa mgombea urais lazima utafukuzwa refer Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Zomea ya Bukoba iliandaliwa na nani?pitia upya sababu za Msaliti kuzomewa
 
Last edited by a moderator:

Na wewe unabidi utulize akili usiwe kama nyumbu kukariri, si kila anamzungumuzia zitto ni mwana chadema hata maccm yanaweza kufanya hivyo.
 
utanikenulia sana meno this time
Tume ya Uchaguzi imeongeza jimbo jipya ka uchaguzi linaitwa jimbo la Mbowe msome Bavicha mwenzako hapo juu anasema Zitto kaenda kwenye hilo jimbo kuweka mgombea wake kinyume na taratibu za ACT - Wazalendo.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Na wewe unabidi utulize akili usiwe kama nyumbu kukariri, si kila anamzungumuzia zitto ni mwana chadema hata maccm yanaweza kufanya hivyo.
Mleta mada kasema hivi...

Mkuu Mimi si mwanaccm, ni mwanachama muaminifu WA CHADEMA ila napenda wanasiasa watende vile wanavyonena.

Sasa mimi na wewe sijui nani anakariri kama nyumbu?
 
Yaani kila anachokifanya Zito/kutenda kwenu ni madini, muachen Zito afanye yke, mbona Bavicha hamtaki kukubaliana na wakati.
 
Dr.Slaa mara mbili?!!we kweli Zombi
Mara ya kwanza kapigwa chini mara ya pili wenyewe mnasema atagombea mwaka huu ushahidi uzi wako mwenyewe "Special thread Dr.Slaa".

Usiwe punguani wewe nenda kajisome.
 
Naona umeingia kichwa kichwa kwenye mada mleta mada anakuambia kuna jimbo la Mbowe Zitto kaenda kuweka mgombea wake.

Huko ndiyo kuanika?

Wewe kweli unaamini Tanzania kuna jimbo la uchaguzi linaitwa Mbowe?
Narekebisha typing error, namaanisha jimbo la Mbogwe mkoani Shinyanga. Sasa tujadili hoja nani kampa Zitto mamlaka ya kuteua wagombea ubunge? Kama alikimbia uvunjifu WA katiba CHADEMA mbona yeye anafanya Yale Yale kwa kuvunja katiba ya ACT?
 
kwanini msiachane na zitto mkafanya yenu?
Mzalendo halisi lazima akemee ukiukaji wa katiba yoyote ile hata kama si mwanachama. Hatuwezi kuona watanzania wenzetu wananyanyaswa kwenye chama chao na mtu aliyejipachika cheo cha ayatullah.
 
zitto ni kijana mhuni.....kiongozi mkuu wa chama. Kajamaa kanapenda sana madaraka halali na aramu
 
zitto ni mzito kama gunia la misumari

kwa hio kama Mbowe na Dr Slaa wamefanya hivo na zito pia afanye hivyo?

Akili za kipimbi hizi

Mzalendo halisi lazima akemee ukiukaji wa katiba yoyote ile hata kama si mwanachama. Hatuwezi kuona watanzania wenzetu wananyanyaswa kwenye chama chao na mtu aliyejipachika cheo cha ayatullah.
nyie mshamfukuza inatosha jamani, hata hivyo vikundi vya kuzomea unazani vinafanya uzalendo?
 
Bavicha woote ni wendawazimu
Tume ya Uchaguzi imeongeza jimbo jipya ka uchaguzi linaitwa jimbo la Mbowe msome Bavicha mwenzako hapo juu anasema Zitto kaenda kwenye hilo jimbo kuweka mgombea wake kinyume na taratibu za ACT - Wazalendo.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…