Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

Sio lazima msuluhishi akawa dr. ndugu wawili wakigombana chukua jembe kalime wakipatana beba kapu ukavune. sheikh wa mkoa anaweza kuwasuluhisha kwa kusoma vifungu ktk msaafu au ktk hadithi za mtume. slaa anawajua petro, mikael yohana nk.
 

jisikitikie kwanza wewe ambae hata kesho utakula nini haujui haya mambo ya kumsikitikia dr slaa wakati anakutetea wewe na watoto wako na taifa lote wapi na wapi?
 


kwa naunga mkono hoja ya kwamba zitto ni mchapa kazi kweli kijana mbunifu! Tatizo la zitto alishachakachuliwa na magamba!! Sasa kutokana na kimbelembele chake cha kufikiria kuwa rais hata kama hakizi vigezo aliamua kuleta kachokochoko na viongozi wake wakuu...ni kwa kuwa tu cdm inabusara vinginevyo angekuwa kashatemwa! Mimi nilikuwa na muamini sana ila sasa kwishney ....kwa kifupi ukitaka kujua ni kiongozi gani anaivuruga cdm kwa sasa ni zitto k......hata anayeleta makundi ni zitto k
 
Hapio ndipo ilipofika CHAMEMA ambayo inajinadi kuwa ni chama cha kitaifa ni kwa nini anakosolewa ZITO peke yake na si LEMA aneyefanya madudu kila kukicha? Ubaguzi huu utaifikisha wapi Chadema na mustakabala wao wa kuichukuwa Tanzania wanayodai imeharibiwa?
Ni kweli wataitoa kwenye haya matatizo au ndiyo watatuingiza kwenye vilio na maumivu? acheni hizoooo.
 
Waberoya
waambie hao wanaopenda chongo nakuiita kengeza MBOWE ni Bom ndani chadema siku moja watakukumbuka.

Dr Slaa anamuabudu MBOWE kama Mungu. Kwanini hawi muwazi kumkosoa Mbowe pale anapokosea na kuwakandamiza wenzie ndani ya CHADEMA?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…